Nifanyeje mpenzi wangu arudi?

Kesha kuchoka kapata mwingine ila anaogopa kukubwaga anataka uanze wewe kumuacha ili asiwe mkosa
 
Kuna kila dalili ya uhusiano kuvunjika hapo na mpenzi wako huenda ameshakuchoka ndio maana labda hataki kurudi
 
Atakuwa na ghubu huyo be careful....


Ila vunja nae ukimya mweleze unavyojisikia
 
...
 

Attachments

  • FB_IMG_1492318882443.jpg
    45.2 KB · Views: 40
Bahati mbaya ulichanganya mahusiano na familia yenu.
Pili umekiri kumpenda deadly.

Ushauri wangu nihuu.....
1: vilia
2: piga chini na uanze upya
 
Ma sister du ndo zenu. Mnachukuliaga advantage ya kujiona uzuri yakiwafika hapaa mnaanza ku panic tulia hivyo hivyo uachwe vizuri! Mnatusumbuaga sana!
 
Ulifanyaje mpaka ukampata? sisi hatukuwepo na haukutushirikisha
 
nyongeza wakishapatana nae aje kutoa barua ya posa kama anakupenda kweli ili muanze taratibu za ndoa. Mkishakubaliana hapo kila kitu kitaenda smooth
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…