Nifanyeje kujenga Kituo cha kuuza mafuta?

KESHa

Member
Feb 26, 2014
26
10
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa mtaji wa mafuta ni mkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma.

MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mabenk ya uwekezaji nifungue sheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI
 
Kaa chini uchore ramani mkuu..hiyo ramani ndo uje nayo Sasa wadau wakushauri!.kila la heri
 

Anzia tu kuuza hayo mafuta hata kwenye vidumu ili kupunguza hilo tatizo la uhaba wa mafuta kwenye hilo eneo unaloishi. Ila kuwaza kuanzisha kituo cha mafuta halafu mfukoni huna hata MIA! ni kujiongezea tu msongo wa mawazo.

Ungekua walau hata una milioni 200 hivi wadau wangekupa msaada wa nini cha kufanya. Sidhani kama kuna benki itakayokupa hela ili ukaanzishie biashara!

Kwa maelezo zaidi wewe nenda kwenye ofisi za Sumatra au tafuta humu humu jukwaani. Kuna nyuzi za watu huko nyuma waliuliza swali hili hili na kujibiwa vizuri tu.
 
Unalo eneo la ardhi ambamo shelio hio itawekwa?

Kama una eneo la uhakika basi ipo namna ya kupata sheli,kama huna eneo la uhakika basi kwanza tafuta eneo la uhakika la kuweka sheli,kisha tafuta takwimu za idadi ya Magari kwa eneo husika na pia ukiweza kuwa na makadirio ya mauzo kwa wiki basi unaweza kupata fursa ya kumiliki sheli yako kama ndoto yako ilivyo.

Kwa kawaida unahitaji kuwa na uwezo wa kununua mafuta kwa cash na unaingia katika ubia wa franchising na makampuni makubwa.Kama uko serious na vigezo umevielewa njoo PM.
 
Wazo ni mtaji...tafuta matajiri uza wazo mshirikiane..
 
This is illegal, labda awe na mobile..and km mtaji tu majanga ni shida. .... namshauri hivi....

Atafute mmiliKi yoyote aliyoko karibu nae wa mobile (gari ndogo zakuuzia mafuta)..then anza kufanya nae biashara. ...

Wengi wao wanatoa mafuta kwa mali kauli then anapunguza chini ya bei ya Ewura mf 100/200 kwa kila lita ukauze kitachozidi uuzapo ndio mshahara wako...
 

Sema ni costful sana boss. Nearly 600m yani hadi sheli kukamilika.
 


Hapo unapo kaa ni wilaya gani?
 
Wazoo la kumiliki mobile car ya kuzambaza ndio zuri

Kuna jamaa angu amefungua huko kwao umasaini huko alinimbia pumpu tu hyo pekee ake Ni milioni 20 mpk na tano HV

I'll Happ kigamboni maeneo ya dege na kichangani Kuna Shelli moja pale jamaa ameshindwa kui run na kuiza Shelli yake
 
Alikudanganya hizo pump hazina hiyo gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…