Nifanyeje kuhusu huyu mwalimu

We jinsia gani na huyo mwalimu ni jinsia gani? Maana Bongo hapa hakuna kitu cha bure lazima ukigharamikie ili kiwe chako. Hao qasamaria wema walishastaafu kabla ya kwenda kwenye vita ya kagera
 
yan unasoma adv alaf hujui nia ya mwl , ndo nyie mnajazaga watu kwenye interview
 
sitaki malipo ya pesa, usijali ntakuambia badae unilipe nini. Wewe endelea kusoma tu.
 
Huo uandishi wako mbona wa darasa la 7.
Hakuna a level wa namna hii
 
We ni jinsia gani? kama ni wa kike basi hiyo ni gia ya kukuvuta...

Watu ambao wapo kikazi huweka biashara zao wazi hiyo milolongo yote ya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…