Ya nn mkuu? Humu kila kitu ni free km anataka kubadilisha jina. A log in kweny facebook yake atumie web yaan aingie google kisha a log in kisha aende setting hapo atakutana na option.Toa consultation fee sasa.
Kutumia jina moja km Babati. Install vpn kweny pc au simu. Kisha i set kweny ip address ya indonesia, hapo utakuwa unatumia server ya indonesia kisha log in kweny account yako ya fb, ingia setting (hatua za kubadilisha jina ni zile zile). Fuats hatua za kubadilisha jina 100% utafanikiwaWanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.
Angalia post namba 21wanafanyeje we jamaa hebu nielekeze
Thx mkuuKutumia jina moja km Babati. Install vpn kweny pc au simu. Kisha i set kweny ip address ya indonesia, hapo utakuwa unatumia server ya indonesia kisha log in kweny account yako ya fb, ingia setting (hatua za kubadilisha jina ni zile zile). Fuats hatua za kubadilisha jina 100% utafanikiwa
Pamoja mkuuYa nn mkuu? Humu kila kitu ni free km anataka kubadilisha jina. A log in kweny facebook yake atumie web yaan aingie google kisha a log in kisha aende setting hapo atakutana na option.
Kwa msaada zaidi a google
1. Jinsi ya kubadilisha jina facebook kabla ya miez 6.
Kitambo sana sijaingia fb huwa inapita hata miezi 5 sijaingia na nikiiingia dk 1 tu nishamaliza na log out.
Unatumia vpn ipi?Kutumia jina moja km Babati. Install vpn kweny pc au simu. Kisha i set kweny ip address ya indonesia, hapo utakuwa unatumia server ya indonesia kisha log in kweny account yako ya fb, ingia setting (hatua za kubadilisha jina ni zile zile). Fuats hatua za kubadilisha jina 100% utafanikiwa
Ahsante sana maana nilifanilishanenda setting & privacy kisha general hapo utakuta sehemu ya kubadili
Mimi najua tu hiyo moja pale kwenye settings
OkeyAhsante sana maana nilifanilisha
OK tuko pamojaAhsante sana maana nilifanilisha