Nifanyeje kubadili jina Facebook?

Nipe namba ya siri na email ama namba ya simu uliyo jiungia kisha mm nitabadili jina unalo taka.
 
Mimi najua tu hiyo moja pale kwenye settings
Ndiyo kikawaida kubadili jina tena mpaka miez 6 ila unaweza kutumia trick ukabadili jina upendavyo hata kutumia jina mmoja yaan initial au surname pia inawezakana
 
Ndiyo kikawaida kubadili jina tena mpaka miez 6 ila unaweza kutumia trick ukabadili jina upendavyo hata kutumia jina mmoja yaan initial au surname pia inawezakana
wanafanyeje we jamaa hebu nielekeze
 
Nenda ktk profile yako kuna profile edit unaedit unachotaka kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…