Wanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.Mwenye kujua namna ya kubadilisha jina la account Facebook naomba anisaidie
Unafanyaje sasa ndgWanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.
Kuna trick ambayo unaweza kubadili jina kadri uwezavyo siyo mpaka usubiri miezi 6.Wanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.
nenda setting & privacy kisha general hapo utakuta sehemu ya kubadiliMwenye kujua namna ya kubadilisha jina la account Facebook naomba anisaidie
Mimi najua tu hiyo moja pale kwenye settingsKuna trick ambayo unaweza kubadili jina kadri uwezavyo siyo mpaka usubiri miezi 6.
Nenda kwenye settings kuna optionUnafanyaje sasa ndg
Ndiyo kikawaida kubadili jina tena mpaka miez 6 ila unaweza kutumia trick ukabadili jina upendavyo hata kutumia jina mmoja yaan initial au surname pia inawezakanaMimi najua tu hiyo moja pale kwenye settings
JaribuNdiyo kikawaida kubadili jina tena mpaka miez 6 ila unaweza kutumia trick ukabadili jina upendavyo hata kutumia jina mmoja yaan initial au surname pia inawezakana
Nishajaribu na kitu kikatiki 100%Jaribu
Urongo nibaada ya miezi mi2 wenyewe wanasema siku 60Wanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.
wanafanyeje we jamaa hebu nielekezeNdiyo kikawaida kubadili jina tena mpaka miez 6 ila unaweza kutumia trick ukabadili jina upendavyo hata kutumia jina mmoja yaan initial au surname pia inawezakana
Toa consultation fee sasa.Nishajaribu na kitu kikatiki 100%
Soma vizuri na weweUrongo nibaada ya miezi mi2 wenyewe wanasema siku 60
sio miezi 6 ni miezi miwili yaani siku 60Wanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.
Ok mkuusio miezi 6 ni miezi miwili yaani siku 60
tuko pamoja asante sana mkuuOk mkuu
Well notedtuko pamoja asante sana mkuu