kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 417
Hongera kwa kuwa na karama. Karama ni zawadi kubwa sana ambayo kila mtu anatamani kuwa nayo, bila kujalisha ni karama ya aina gani.hizo ni karama mkuu.
mm kuna kipindi naotaga halafu najiambia kabisa si ndoto hapa naomba wala sio kweli.
au naota nataka labda kupatwa na kitu kibaya.. nacontrol lile tukio nalirudisha nyuma ,halafu nalipeleka nnavyotaka mimi.
Yani kwa kifupi nacontrol ndoto mbaya ...80%
Bora yako wewe unalala na remote controlhizo ni karama mkuu.
mm kuna kipindi naotaga halafu najiambia kabisa si ndoto hapa naomba wala sio kweli.
au naota nataka labda kupatwa na kitu kibaya.. nacontrol lile tukio nalirudisha nyuma ,halafu nalipeleka nnavyotaka mimi.
Yani kwa kifupi nacontrol ndoto mbaya ...80%
Mh!Wahenga wanasema ndoto huwa haifiki mwisho. Ikifika mwisho unakufa hapo hapo! This is unproven theory but it sounds true.
Mwisho wa ndoto ni nini? Mwisho wa ndoto sio ndoto kuisha, bali ni hitimisho (conclusion). Ndoto nyingi tunazoota huwa hazina hitimisho (conclusion) yani zinaishia hewani-hewani. That is the 'what next' part of a dream remain unclear!Mh!
Mbona mimi nimeshaota ndoto mpaka mwisho mara nyingi tu?
Kusingekuwa na hitimisho(conclusion) ya ndoto, watu wasingekuwa wanaota jambo halafu linatokea, huwezi kuota jambo likatokea mpaka ndoto yako iwe na hitimisho. Kwahiyo wapo wanaoota ndoto zenye hitimisho.Mwisho wa ndoto ni nini? Mwisho wa ndoto sio ndoto kuisha, bali ni hitimisho (conclusion). Ndoto nyingi tunazoota huwa hazina hitimisho (conclusion) yani zinaishia hewani-hewani. That is the 'what next' part of a dream remain unclear..!
mh waulize kina Mshana mm binafsi sifahamu. ila nnachokijua nikitakaga kuota ndoto za maono ndio nakua nusu nusu tena mara nyingi zinakuaga za kutisha, labda mtu anakuja kukukaba,kukuchoma na kitu, ambapo unakua unaona mfano kama labda mnaishi family, labda mwenzio unamwita haitiki,unamshika hashikiki, na ukishtuka unajikuta kama umechomwa na kitu pale ulipochomwa panauma na kila kitu kipo kama ulivokua unaota.Hongera kwa kuwa na karama. Karama ni zawadi kubwa sana ambayo kila mtu anatamani kuwa nayo, bila kujalisha ni karama ya aina gani.
Karama siyo lazima uzaliwe nayo, ukifosi kuspecialize kwenye jambo fulani, basi wewe automatically unakuwa na karama kwenye hilo jambo ulilolifanyia bidii sana.
Tukija kwenye swali langu, kuota nusu uko umelala nusu uko macho haihitaji karama, ni maandalizi tu wakati unapoanza kulala, haihitaji mdalasini wala ubani Makka, ni maandalizi ya KIAKILI tu, mimi nataka nijue hayo maandalizi ya kisaikolojia unafanyaje?
Bora yako wewe unalala na remote control
Hahaha!!!!Post yako inashabihiana na jina lako
Kutokana na maelezo yako, ndoto unayoota nusu uko usingizini nusu uko macho, maana yake ni ndoto ya maono, si' ndiyo?mh waulize kina Mshana mm binafsi sifahamu. ila nnachokijua nikitakaga kuota ndoto za maono ndio nakua nusu nusu tena mara nyingi zinakuaga za kutisha, labda mtu anakuja kukukaba,kukuchoma na kitu, ambapo unakua unaona mfano kama labda mnaishi family, labda mwenzio unamwita haitiki,unamshika hashikiki, na ukishtuka unajikuta kama umechomwa na kitu pale ulipochomwa panauma na kila kitu kipo kama ulivokua unaota.
Ndiyo mkuu, tunazungumzia mambo ya ndoto.Ndoto
Hyo siyo ndoto ni kumbukumbu, ndoto huwezi kuimaliza mpaka mwishoMh!
Mbona mimi nimeshaota ndoto mpaka mwisho mara nyingi tu?