Mpenzi wangu ananiambia anahamu ya kufanywa angali mimi nimechoka na kazi za ofisini niko choka mbaya huyu mzee hata akilazimishwa kusimama sidhani kama atatoa maji .
nifanyeje wadau ili asione namwangusha?
mtafuta mtu hapo jirani akusaidie...mambo kusaidiana bana
Nasikia Bunge la Katiba linavunjwa, mkuu tpmazembe hizi habari ni za uhakika au porojo tu!
Hahahahahah...naww njoo unisaidie
haya kaa mkao wa kula..teh teh
Fanya mazoezi asubuhi kabla ya kwenda kazini najioni ukitoka kazini halafu jitahidi kula vyakula vya Kienyeji zaidi pamoja na matunda, nakwambia uchovu wote utakwisha na ngamia utampanda vuzuri kwa muda wowote.