Nifanyeje iPhone yangu itumie Apps za android?

Subiri mpaka 2024 itaanza hiyo feature ila sijui kama itakuwa universal but all I know ni kwamba EU wameilazimisha Apple kufungua jukwaa lake kwa applications za android pia starting 2024 if am not mistaken.
Kwamba asubirie mpaka 2024 hahaa! Jamaa ana simu 2 kabisa si atumie tu hiyo simu yake ya Android Xiaomi kuweka hizo apps na afanye atakavyo...

Kifupi analowaza halipo kwa sasa au haliwezekani na kama lipo basi atakumbana na vikwazo vingi kufanikisha kwa sabu sio officially supported na Apple wenyewe....

Tumia Android mtoa mada kuweka hizo lite apps wacha kusumbua akili yako sana.... iPhone endelea kutumia kwa matumizi yako ya kila siku...
 
Haiwezekani apps za android kufanya kwenye ios, na karibu application zote maarufu ziko iOS kwa maana developers wengi huanza kutengeneza app za iOS kabla ya android.
Labda kama unaongelea kile EU wanacho force apple iwaruhusu developers kuchagua njia ya malipo wanayotaka kuliko kuwalazimisha in apps payments zote kupita kwao kwa kigezo cha ulinzi
 
natak gn WhatsApp coz citak usumbuf kwa raia..

nadhan ww unazijua faida za Gb WhatsApp
Hiyo haiwezekani mkuu maana sio official na huipati appstore na bado kwenye ios haruhusu kuinstall app nje ya appstore.
Hapo ni kutafta tu android
 
Haiwezekani apps za android kufanya kwenye ios, na karibu application zote maarufu ziko iOS kwa maana developers wengi huanza kutengeneza app za iOS kabla ya android.
Labda kama unaongelea kile EU wanacho force apple iwaruhusu developers kuchagua njia ya malipo wanayotaka kuliko kuwalazimisha in apps payments zote kupita kwao kwa kigezo cha ulinzi

Natamani sana kujibizana na wewe ila nafsi imegoma.
 
Kwamba asubirie mpaka 2024 hahaa! Jamaa ana simu 2 kabisa si atumie tu hiyo simu yake ya Android Xiaomi kuweka hizo apps na afanye atakavyo...

Kifupi analowaza halipo kwa sasa au haliwezekani na kama lipo basi atakumbana na vikwazo vingi kufanikisha kwa sabu sio officially supported na Apple wenyewe....

Tumia Android mtoa mada kuweka hizo lite apps wacha kusumbua akili yako sana.... iPhone endelea kutumia kwa matumizi yako ya kila siku...

Hakuna namna ati
 
Natamani sana kujibizana na wewe ila nafsi imegoma.
Hatujibizani tunaeleweshana, weka fact niweke fact.
App kubwa zote karibu zote zinaanzia iOS kabla ya kwenda android iwe whatsapp, Instagram, zote developers wanatengenezaga za iOS kabla ya android.
Na huwezi run app ya android kwenye iOS labda kama kuna emulator ya kufanya hivyo na apple alivyo hawezi kuhusu uweke emulator ya hivyo kwenye appstore maana yeye kila asichotaka anasema ni kwa sababu ya security reason.
Hivyo, haiwezi kuwa sahihi kusema kwamba EU wanailazimisha apple iruhusu app za android zirun kwenye iOS kama unajua hata kidogo juu ya OS na apps zinavyokuwa developed utaelewa kwanini hili jambo haliwezekani na ndio maana mtu akitengeneza app anatengeneza kote kote
 
Naomba msaada mm mgeni kutumia iphone vitu vingi sielewi naomba ajitokeze mtu nimuulize.Aksante
 
Huwezi kupiga simu au tatizo nini na unatumia iphone gani
 
Mnafanana na yule alikuwa anaulizia nozel za corolla zifungwe kwenye engine ya V8 lisile mafuta.
 
Boss app yoyte ambayo ni lite maana yake ni ndogo na uraji wake wa mb ni mdogo tofauti na zile app premium.

WhatsApp iliyopo app Store ni ile premium sio Gb . WhatsApp ya kawaida ina madhaifu mengi ndo maana watu wengi upendelea kutumia Fm na Gb
Uraji wa MB

Instead of "Ulaji wa MB"
 
Back
Top Bottom