Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguzu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
Dah! rais bana, mbona unanyonga?Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguzu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
Dah! rais bana, mbona unanyonga?
Heri kwako pia rais.Naona ka Lizzy kamelala saa hizi manake jana na juzi kamekesha hapa JF.
Btw, heri na fanaka za mwaka mpya katibu.
Heri kwako pia rais.
You never know, pengine kanakuota wewe mida hizi.
Halaf ile ishu nimegundua bana, kweli haukuwa wewe (sorry again), hope bado unaikumbuka?
I was vere wrong and I admit (lakini uchune usiifufue)
Kutamani tu bila hisia yoyote kwangu mimi ni upuuzi (wengine wako huru kufikiria vinginevyo). Naamini kabisa utatamani pale utakapo pata mwanamke anae shtua hisia zako. Focus on finding mwanamke huyo kuliko kufocus on matamanio ya mwili.Je nifanyeje kuboost/kuamsha hisia za mapenzi japo hata niwe na hali ya kutaman tu???
hahahahah NN hebu ngoja aje hapa tusiki mziki wake
Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguvu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
Heri kwako pia rais.
You never know, pengine kanakuota wewe mida hizi.
Halaf ile ishu nimegundua bana, kweli haukuwa wewe (sorry again), hope bado unaikumbuka?
I was vere wrong and I admit (lakini uchune usiifufue)
Kweli we ni iMind, umemshauri vizuri sana..Usifanye chochote. Endelea hivyo hivyo kwa sababu haikupunguzii chochote. Mimi natamani ningekua kama wewe. Ma she wanapoteza muda na pesa, na risk ya magonjwa. kuwa mtumishi wa mungu tu
Usifanye chochote. Endelea hivyo hivyo kwa sababu haikupunguzii chochote. Mimi natamani ningekua kama wewe. Ma she wanapoteza muda na pesa, na risk ya magonjwa. kuwa mtumishi wa mungu tu