mexico 1980
Member
- May 15, 2015
- 68
- 50
Njoo hapaNakuja inbox kuomba nyumba
Huku uraianiUliombwa huku jf
Asante kwaushairi mzuri ila pesa sinaninazo za kawaidaHongera inaonekana wewe tajiri ee,una pikipiki,una gari,pesa unazo tele.
Cha msingi acha kujionesha una hela,kama una familia na watoto ukiombwa pesa singizia majukumu ya kulea familia mfano ada za watoto,matibabu nakadhalika
SijakielewaKwaiyo wewe ni babu jinga?.
Umaskini ni mzigo. Ugua maradhi ote ila kuchacha usiombeeUza Mali zote
Naomba uniazime gari kesho asubuhi ikiwa na mafuta kiasi, kama haita wezekana basi fanya kuniazima pikipiki ikiwa na mafuta ya kitoshaNimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa jamani ili niwe mchoyo.
Utani huo mkuuNaomba namba za Mkeo nduguu...
Sasa wewe badala ya kunisaidia unazidi kupiga mizinga!Naomba uniazime gari kesho asubuhi ikiwa na mafuta kiasi, kama haita wezekana basi fanya kuniazima pikipiki ikiwa na mafuta ya kitosha