Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Ilikuwa ukimaliza miezi sita ya ukuruta unaweza kutumia katika taaluma yako.Haah!!
Tusimdanganye huyu ndugu kule hawana masihala kabisa nilibebana na vyeti vyangu mwaka flani kwenda kwenye mafunzo JKT ni kabeba mpaka cheti cha ubatizo cha kushangaza nilikaguliwa mm badala ya vyeti uchura matusi masimango anyway aende navyo Tu mm simo