Jiulize sababu za kukusaliti ni zipi, afu ndo udeal nazo...
otherwise acha kazi ukae nae kumlinda asicheat.
Mleta mada unaonekana una wasiwasi sana! Hebu nambie wasiwasi wako unatokana na nini? je,unatokana na jinsi unavyomjua mkeo kwa maana ya tabia yake au unatokana na kumuweka mkeo kwenye kapu moja pamoja na hao wake za watu?
Namuamini sana, ila katika miaka yaku 5 ya kufanya kazi, sijawahi mtaka kwa dhati msichana ninayefanya naye kazi hata kama kaolewa alafu ikashindikana ,itapita miezi au mwaka lakini atalainika tu. maana kama tuko pamoja job ,chai pamoja,mchana tunakula pamoja, tunakimbizana wote na ripoti za ofisini na kusaidiana yanakuwa ni mazingira rahisi sana hasa jiji letu hili linaloenda na wakati na wadada wanabadili mavazi kulingana na wakati.haumuamini mkeo?
binadamu halindwi....
binadamu hachungwi......
binadamu akiamua kugegedana huwezi mzuia...
kitu kinachoilinda na kuijenga ndoa ni UAMINIFU
kama una mapungufu yarekebishe
wewe ndio unamjua mkeo, usimfananishe mkeo na wengine.....yeye sio wengine...nakutakia ndoa njema
Muachishe kazi
Sikumaliza na wewe uache kazi uwe unamlinda hapo utakuwa umemaliza tatizona huko humo nitakakomuacha atakuwa salama mimi nikiwa job?
Unajuaje kama hao wake za watu wanafikishwa?hawa ninaofanya nao kazi wanawasaliti waume zao,wanapewa kila kitu,wanafanyiwa vyote,wanafikishwa na bado wanacheat. ni kuwa tu mazingira ya kiofisi na hizi kazi za serikali tunakuwa free mno hivyo kama umekaa na msichana ofisini kavaa kimini hamna job anacheza tu karata ni rahisi kugegeda sana unakuta katika wiki labda siku moja au mbili ndio kuna kuwa na vikazi kidogo muda wote stori na kuchat na mitandao sasa ukiwa naye ofisini mara atoke ale chips , mara akanunue tunda ukimlengesha unashangaa unamgegeda kiulaini sana.ingawa na mume wake ana anajipapatau.