Nifanyeje ili hasinisaliti?

Mwambie aache kazi na wewe uache kazi mcheze kidalipoo kutwa nzima
 
haha wiii kumchunga binadamu ni sawa na kuchunga bahari ukilinda coco beach yeye anajiachia kunduchi , ndoa za cku hz bana ibilisi ameingia kati , hofu ya Mungu pekee ndo itawaepusha na uzinzi huwezi kumlinda binadamu , umekutana naye akiwa na meno yake 32
 
Duuh hii noma mkuu.hii ni mwanamke mwenyewe .kwa kukushauli kuwa karibu naye kwa kila corner.kumliwaza na kuwa rafiki yake wa karibu .kumsaidia kazi za nyumbani hata kumfulia nguo zake hata chupi zake,kusaidia hata kupika ,toka naye out.yaani kwa kifupi kuwa karibu sana naye na mpende kwa dhati.na jaribu sana kuwa mtundu kitandani ili umlithishe kimapenzi.jaribu kutafuta mbinu za kimapenzi ,tafuta maeneo ya mwili wake ambazo anajickia raha sana kimapenzi .kuna maeneo mengi wanawake wanackia raha ya kimapenzi kama chuchu,ulimi,masikio,sehemu ya shingo ,kuta za uke labia,sehemu za mgongo kwa kuzishika taratibu kimahaba au ukimramba kwa ulimi kuanzia katikati panapo anzia makali yake kuelekea juu mpaka karibu inapoanza shingo mgongoni.hata unapofanya mapenzi naye ,tafuta G-spot yake na critor cheza na sehem hizo taratibu na kwa upole, ukinyonya critor kwa ulimi huku ukiingiza kidole chako kwenye G-spot kwa kidole chako ,.G-spot ipo chini ya critor kwa ndani juu .haipo mbali sana kama inch 2 hivi ndani ya uke .ni sehemu ambayo mwanamke anackia raha ,jaribu kufanya mchezo huu kwa dk 15 mpaka 20 dk kabla haujamuingilia mkuu.atajickia raha sana ,na ukianza kumuingilia jaribu kutafuta poz ambazo unaiguza G-spot kwa mfano poz ya yeye kuwa juu yako maana mkeo atakuawa anatafuta G-spot mwenyewe,pozi nyingine ni ile mkeo analala kifudifudi ,wewe unakuja nyuma yake mgongoni,pozi nyingine ni kwa ubavu .pia pozi ya mbwa kachoka au kifo cha mende ila muwekee mto aulalie kwenye kiuno chake mkuu. Ila cha msingi mpende sana mkeo na kuwa karibu naye.bila kusahau shikeni sana imani yenu kama ni wakristo mshiriki sana ibada au kama ni muislam shika dini naye .bila hivyo mkuu utagongewa tu.kila la kheri
 
alternative nyingi asubuhi muda wa kuvaa nguo wee chukua pichu yake naye achukue pichu yake mziombee kwamba asiivue mahali pengine ila nyumbani alipoivalia then unampa aivae , haha natania
 
hakikisha unampiga cha asubuhi cha ukweli hakikisha na yeye amefika kilimanjaro,then anawe na kuosha kwa maji ya moto chwaaa chwaaa hata sikia hamu tena siku nziima
 
hahahaaaaa

duu ... genyes ndo zimefikia hapo. Hi hatari tupuuuu
 
nahisi kama umewahi kuoa kabla ya muda wako kufika kuoa.. Kumradhi kama nimekuuzi
 
alternative nyingi asubuhi muda wa kuvaa nguo wee chukua pichu yake naye achukue pichu yake mziombee kwamba asiivue mahali pengine ila nyumbani alipoivalia then unampa aivae , haha natania

hahahah duu hii kali
 
ila jua kumlinda au kumzuia mtu ni kazi kweli. we mwombe God
 
mfungie camera za cctv ili ufuatilie nyendo zzake
 
Naona pale inaelekea chupi zenye vifuli zitakuwa na demand sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…