Wadau mimi nina ndoa changa ya miezi 6, sasa tuna fanya kazi wote hapa dar mimi niko posta yeye yuko mikocheni. sasa tatizo linalonitesa ni kuwa wake za watu ofisini kwenu wanagegedwa sana na wafanyakazi wenzetu ingawa wana waume zao majumbani kwao.
sasa nilikuwa najiuliza nimfanyeje wife ili muda wote kwanzia asubuhi mpaka hiyo usiku tunapokutana asiwe na hamu kabisa ya kufanya mapenzi?ili asije akarubuniwa na kunisaliti.
Uwe unaenda kumpa cha chapchap mchana.

Mhamishie ofisini kwenu.. Uwe naye kila dakika.. Kidooooogo itasaidia