nifanyeje computer yangu isionekane?


do this way
 
do this way

Hiyo haieezi kuficha kwenye router, hiyo inazuia usijiunge kwenye windows networking tu, yaani ukienda My Computer kisha network hautaona kitu na wewe hautaonekana
 
Wap2 bado ni secure ukitumia strong/unique password na ukibadili jina la router (SSID) njia pekee ya kuhack wap2 ni kwa kujaribu kila combination ya password kitu ambacho hakiwezekani ukitumia password strong.
 
mkuu hiyo kwa uzoefu wangu mdogo wa kucheza na router kwa hili sidhani kama linawezekana, maana router yoyote ile ni lazima itambue device gani ime kuwa connected kwake ndiyo ifanye mawasiliano nayo..so njia yoyote utakayotumia ili ku hide isionekane na yeye mwenye router yake anaweza kutumia settings hizo hizo kufanya ionekane...labda kama yeye si mtaalam wa mambo hayo ya IT...na isitoshe kama angekuwa ni mtu mfatiliaji sana si ajabu saiz angesha kupiga lockout kwenye router yake, angeweza kuzuia tu hata mac adress yoyote na kuruhusu ya pc yake tu ku connect kwenye network yake na usingepata kitu kwa hiyo nakushauri tu shukuru hata hicho kidogo ulichopata la sivyo akishtukia anaweza hata kuinyofoa kabisa hiyo router!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…