renewable Member Joined Dec 21, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Dec 23, 2013 #1 Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 ila inakata sana mawimbi unaweza kuongea na mtu ye unamsikia lakin yeye hakupati hebu mwagikeni wadau...
Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 ila inakata sana mawimbi unaweza kuongea na mtu ye unamsikia lakin yeye hakupati hebu mwagikeni wadau...
W Walas Ba JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3,398 Reaction score 1,743 Dec 23, 2013 #2 Jitahid kuweka meaelezo
renewable Member Joined Dec 21, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Dec 24, 2013 Thread starter #3 Yaani Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 sasa nikimpigia mtu yoyote au hata nikipigiwa naongea kwa sekunde hamsini tu kisha nakua namsikia kila kitu anachoongea ila Mimi anakua hanisikii nilishabadil software lakin bado tatizo lipo?
Yaani Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 sasa nikimpigia mtu yoyote au hata nikipigiwa naongea kwa sekunde hamsini tu kisha nakua namsikia kila kitu anachoongea ila Mimi anakua hanisikii nilishabadil software lakin bado tatizo lipo?
jwhizzy JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 681 Reaction score 397 Dec 24, 2013 #4 Hata mimi tatzo hili linanitokea sana kwa hii huawei y300 na pia mm nikisave majina mtu akipiga inatokea no.tu tusaidieni waatalam.
Hata mimi tatzo hili linanitokea sana kwa hii huawei y300 na pia mm nikisave majina mtu akipiga inatokea no.tu tusaidieni waatalam.