Nifanye nini?

Fidelis88

New Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Nimetokea kumpenda rafiki yake na mpenzi wangu wa zamani wa sekondari ambaye nimekutana naye chuo tofauti na huyo ex-girlfriend wangu.
 
Hivi nyie mbona kila leo hapa JF nimekutana nae Chuo chuo chuo tu, nyie mnaenda kutafuta ma gf huko sio kusoma?

Wasamehe bure mkuu............wengine wameenda vyuoni "kukua"..........na wengine kusoma,
Si unaona hata mada zao mkuu?Tusaidiane kuwalea hao...........wanaokulia vyuoni kupitia JF.
Wamesikia tetesi kuwa JF kuna Great Thinkers..................ndio mana wanakimbilia hapa.
 
Kusoma siyo kuelimika, wengine wanafuta ujinga wa kujua kusoma na kuandika tu.
 

Junior Member



Join Date : 7th July 2011
Posts : 2
Rep Power : 0

Hakuna Msaada... Soma kwanza usije ukawasumbua wazazi wako...
 
Alaa...ufaNYEJE AJE NA WEWE USHAPENDA...
cAN U UN-LOVE?

Btw, wakati uko na huyo ex-gf wako..huyu rafiki yake ulikuwa unamfahamu?
 
loh u've maf my day! Ndo maana supplementary zimezd!

Mkuu mpaka inaudhi sasa kila kona nipo chuo gf wangu pia yuko either sec au chuo pia...halafu hivyo vyuo mhhhh....soon mkulu anakuja na vyuo vya kata hapo chacha...
 

wamezidi sasa...kwani wakisema tu nilikuwa na gf wangu si inatosha? Mpaka uandike chuo jamani? hahaha by the way magreat thinkers wanakazi
 
wamezidi sasa...kwani wakisema tu nilikuwa na gf wangu si inatosha? Mpaka uandike chuo jamani? hahaha by the way magreat thinkers wanakazi

Naona lianzishwe jukwaa la MALEZI au unawazo gani mkuu?
 
Nimetokea kumpenda rafiki yake na mpenzi wangu wa zamani wa sekondari ambaye nimekutana naye chuo tofauti na huyo ex-girlfriend wangu.
unampenda au unamtamani? Hebu soma huko make naona unaitafuta september conference kwa nguvu na GPA ya 2.it seems you r too young to stand with ur own feet young boy!
 
Soma wewe achana na mambo ya kipuuzi,
Mkifeli mnaanza kulalamika,
kumbe kutwa kufikiria rafiki wa GF wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…