Nifanye nini ndugu zangu

Kweli elimu Tanzania hovyo kabisa, mwanafunzi aliyehitimu elimu ya secondary na kuchaguliwa chuo kikuu (chuo kikubwa) lakini unaandika utumbo wa namna hii?

Huwezi hata kupangilia riwaya yako? ulitakiwa kuandika point muhimu tu na watu wangekuelewa.
Atakuwa ana kakipaji ka cha shigongo teh teh teh teh i went there when i was 19 but i left without fuc.kin.g anyone coz mademu wa chuo ni pasua kichwa kishenzi ka vile fuel guzzlers
 
Huku mtaani na maofisini demu akikuita handsome ujue unachapaaa. Wewe uza sura tu, sisi tutakulelea wakija field huku.
 
Watuwengine bwana mtu anakuambia anaboyfriend bado unamng'ang'ania tu bint wa watu kaamua kubaki njia kuu michepuko sio dili ww endelea kuendekeza michepuko hvyohvyo
 
Ulipaswa kuachana nae baada ya kuambiwa anaboyfriend,hebu fikir wewe ndo ungekuwa huyo anayedai ni boyfriend wake.akikukubali bas na wewe kubali kuja kulizwa tena.
 
Kweli elimu Tanzania hovyo kabisa, mwanafunzi aliyehitimu elimu ya secondary na kuchaguliwa chuo kikuu (chuo kikubwa) lakini unaandika utumbo wa namna hii?

Huwezi hata kupangilia riwaya yako? ulitakiwa kuandika point muhimu tu na watu wangekuelewa.
Dah!umenigusa maeneo yangu,kwanza kabisa nikukosoe kuwa hii sio riwaya bora ungesema tamthiliya mana riwaya ni hadithi ndefu na kuna aina mbali mbali kama riwaya pendwa za wasifu na nyinginezo.Pia katika lugha ya maandishi kuna maandishi ya kifasihi yanayozingatia vipengele vya lugha na maandishi yasiyo ya kifasihi yasiyo zingatia kanuni za kifasihi.Nimetumia maandishi yasiyo ya kifasihi kwani katika matumizi ya lugha inabidi uzingatie uhusiano wa wahusika na kiwango cha elimu na humu jamvini kuna watu mbali mbali.Kaka necta hawakukosea kunipa A ya kiswahili ndio mana shule waliniita swahili state mwisho nikukaribishe kwenye jukwaa la lugha yetu adhimu ya kiswahili.
 
Fuatilia kilichokupeleka hapo chuoni i.e. masomo. Usipoangalia semester ya kwanza tu utadisko. Ilishawahi mtokea jamaa mmoja wakati tunasoma.Alimfuatilia demu tangu tunaingia mwaka wa kwanza mpaka tunafika mwaka wa pili jamaa ananmfuatilia tu demu, mara kabadilisha pamba, mara sijui kafanya hivi, akasahau kama kaja kusoma. Matokeo yalivyotoka alidisko na demu alimkosa. Demu kamaliza chuo na sasa kaolewa na jamaa mwengine
 
Toa akili inayo mfikilia ili uendelee na mambo yako we dogo wengine tunahaha kuja huko gp zina kataa ww unakatika na uma
 
Mapenzi mapenzi, unampenda......haah! I don't get the point kabisa.
Sioni cha kukushauri...
 
Hongera kwa kuweza kupenda na kuvunja ukimya. Pole kwa kuchelewa/kuzinguliwa.
 
Ushauri ninaoweza kumpa huyu dogo ni kuachana na mapenzi walau afuate kilichompeleka chuo.Unajua haya mambo ya mapenzi yana shida kubwa.Nilikuwa na mshikaji wangu naye hivyo hivyo kakataliwa na binti ila jamaa kakazana na kung'ang'ania kumbe maskini demu mgonjwa.
 
Anakupenda ila anampenz daaaa! iyo ni noma mbona uyo tayali mpenz wako si naye anakupenda.
 
Back
Top Bottom