Nifanye nini ndugu zangu

Nifanye nini ndugu zangu

Aseee handsome kama ww 😱😕 chuo kikubwa Tz nzima uwezi kosa mwanamke mwingine bnana ebu jarib na mwngne maana ww handsome sana etii
 
Yaani napiga picha jinsi ulivyokuwa umependezaaaaaaa!!!!!!kudadadeki
 

We mkomalie tu mpaka kieleweke yaani ikibidi toa na machozi mbele yake kabisa na akikuambia ana mtu,mwambie na wewe ni mtu.SAWA?

Halafu kama kichwa chako hakina sebule,achana na mademu wa Chuo ni pasua kichwa utagraduate 2nd year.

 
hapo tu ni jkt samtyms hata mafuta mlikua hampaki sasa unaenda chuo kweny urembo wa kila aina....be careful young boy..
 
Hahahhahhahahahah...huyu dogo kanichekesha sana,asee hii BRN kweli ni janga katika taifa na dunia kwa ujumla wake..
 
Gangamara tu mpaka kieleweke, umeshasema unampenda sana sasa yanini kukata tamaa bhanaa!!!

 
Last edited by a moderator:
Hahahhahhahahahah...huyu dogo kanichekesha sana,asee hii BRN kweli ni janga katika taifa na dunia kwa ujumla wake..

Brn inaingiliana vipi na mapenzi au mwenye akili darasani ndio fundi wa mapenz?inamaana maprofessor ni mafundi wa mapenzi dah mkubwa nahisi una upeo mdogo wa kufikiri
 
Brn inaingiliana vipi na mapenzi au mwenye akili darasani ndio fundi wa mapenz?inamaana maprofessor ni mafundi wa mapenzi dah mkubwa nahisi una upeo mdogo wa kufikiri

Ninapozungumzia BRN kuathiri watu hawa,naamisha ule uwezo wakufikiri,nakujua nizumgumze nn wakat gan,na nizungumze jambo gan katika jambo husika,sasa kwa mfano anaposema yupo chuo kikubwa dodoma na tz kwa ujumla,hilo linaingiliana vipi na jambo ambalo analiombea ushaur??kwa hiyo ndio kusema hata wewe una upungufu wa akili timamu kama siyo mpumbavu ikiwa hauon tatizo katika uwasilishaji wa hoja yake...
 
Kweli elimu Tanzania hovyo kabisa, mwanafunzi aliyehitimu elimu ya secondary na kuchaguliwa chuo kikuu (chuo kikubwa) lakini unaandika utumbo wa namna hii?

Huwezi hata kupangilia riwaya yako? ulitakiwa kuandika point muhimu tu na watu wangekuelewa.
 

We mkomalie tu mpaka kieleweke yaani ikibidi toa na machozi mbele yake kabisa na akikuambia ana mtu,mwambie na wewe ni mtu.SAWA?

Halafu kama kichwa chako hakina sebule,achana na mademu wa Chuo ni pasua kichwa utagraduate 2nd year.

Paragraph ys pili, natamani nikutumie kapo vocha ukanunue kifurushi,pokea LIKE!
 
handsome katika chuo kikubwa Dodoma na Tanzania nzima..... mwenzio anaogopa msululu.. hahaha
 
Kuna mengi ambayo yamemfanya dada wa watu akukatae sisi inatuhusu nini kutuambia unasoma chuo kikubwa wewe ilikua uwasilishe mada tukupe ushauri .
 
Wadau naomba mnisaidie.Mwezi wa sita mwaka huu nilimaliza kidato cha sita kisha nikapangiwa kwenda jkt kwa mujibu wa sheria.Nikiwa huko nilikutana na binti kutoka Iringa ambaye nilimpenda sana ila sikumwambia kwa kua kule jkt unaweza ukapewa adhabu mbele ya watu wengi hivyo sikuitaji mpenzi ili niwe huru kwaiyo mimi na binti yule tuliishia kuwa marafiki wa kawaida.Maisha yaliendelea pale kambini binti yule alikuwa ananisaidia kwenye shida ndogo ndogo na mimi pia nilimsaidia.Ilipofika siku ya kuondoka nilimtafuta sikumuona nikaamua niondoke zangu ila nikiwa nje ya geti gafla binti yule nilimuona akitoka ndani akafika eneo nililopo na akaniambia kwaheri akapanda piki piki faster na kuondoka sikupata hata muda wa kumuomba namba.Baada y hapo nilirudi nyumban dar ila nikiwa dar nilipewa namba ya rafiki yake wa karibu na mtu flani.Nilimuomba rafiki wa binti huyo anitumie namba ya binti huyo na akanitumia.Kipindi hiko post za chuo zilikuwa zimetoka na mimi nilikuwa nimechaguliwa chuo kikubwa Tanzania nzima kilichopo mkoani dodoma.Nilipo muuliza binti chuo alichochaguliwa na yeye alichaguliwa hapo ila coz tofauti na yang ila rafiki yake alichaguliwa hapo koz moja na mimi.Siku ya siku nilienda kuripot chuoni kabla yake yeye na rafiki yake.Baada ya mda mfupi na yeye alilipoti ila alifikia mjini kwa ndugu zake kwa kua hakukamilisha usajili ila badae akafika chuoni.Kuna siku nilimuomba tuonane akaniambia niende kwenye hostel zao na ni mbali kutoka nilipo ingawa chuo ni kimoja ila college tofaut umbali wake ni kama buguruni na mnazi mmoja mana chuo hiki ni kikubwa dodoma na Tz nzima.Nilipofika kule alikuwa apokei simu niliporudi nikamtumia sms ya kumlaumu na nikamwambia siongei nae tena akaniomba msamaha na nikamsamehe.Kesho yake nikaenda tena nikiwa nimependeza nilipofika nikaenda hadi hostel kwao hadi chumba chake alikuwa peke yake.Alinikaribisha kiti na yeye akakaa kitandan.Alinisifia nimependeza pia akasema anamatatizo mana amekuta vitu vya ajabu kwenye diary ya boyfriend mimi nikamtongoza akawa anakataa na akaniambia mimi ni handsome hataki presha mana mabinti wengi watanipenda mwisho akasema atanijibu.Nilimtafuta usiku akasema haiwezekani na kesho yake akaniambia anaye boyfriend.Nikamuuliza inamana mimi hunipendi akasema ananipenda sana ila hawezi kumiliki watu wawili nikimsumbua sana anaacha kuchat ndugu zangu nifanye nini huyu binti nampenda sana silali kwa raha kwajili yake.

Ni kushauri bwana mdogo; mapenzi ya chuoni kuwa mwangalifu sana watu huishia kuchomana visu, wengine kudisco. Chuoni usije ukampenda binti as if nimkeo ukweli ni kwamba ataolewa na watu wenye maisha yao coz hapo hataona future na wewe wote mnategemea boom, tena mwnyewe utamwambia mtaoana mkisha maliza chuo wote mpo kitaa hamna kazi kwanza utaona kuoa mda bado sana coz hujajipanga kimaisha hata kazi huna.

Hapo we piga shule wa kuoa wewe bado sana.
 
Wadau naomba
mnisaidie.Mwezi wa sita mwaka huu nilimaliza kidato cha sita kisha
nikapangiwa kwenda jkt kwa mujibu wa sheria.Nikiwa huko nilikutana na
binti kutoka Iringa ambaye nilimpenda sana ila sikumwambia kwa kua kule
jkt unaweza ukapewa adhabu mbele ya watu wengi hivyo sikuitaji mpenzi
ili niwe huru kwaiyo mimi na binti yule tuliishia kuwa marafiki wa
kawaida.Maisha yaliendelea pale kambini binti yule alikuwa ananisaidia
kwenye shida ndogo ndogo na mimi pia nilimsaidia.Ilipofika siku ya
kuondoka nilimtafuta sikumuona nikaamua niondoke zangu ila nikiwa nje ya
geti gafla binti yule nilimuona akitoka ndani akafika eneo nililopo na
akaniambia kwaheri akapanda piki piki faster na kuondoka sikupata hata
muda wa kumuomba namba.Baada y hapo nilirudi nyumban dar ila nikiwa dar
nilipewa namba ya rafiki yake wa karibu na mtu flani.Nilimuomba rafiki
wa binti huyo anitumie namba ya binti huyo na akanitumia.Kipindi hiko
post za chuo zilikuwa zimetoka na mimi nilikuwa nimechaguliwa chuo
kikubwa Tanzania nzima kilichopo mkoani dodoma.Nilipo muuliza binti chuo
alichochaguliwa na yeye alichaguliwa hapo ila coz tofauti na yang ila
rafiki yake alichaguliwa hapo koz moja na mimi.Siku ya siku nilienda
kuripot chuoni kabla yake yeye na rafiki yake.Baada ya mda mfupi na yeye
alilipoti ila alifikia mjini kwa ndugu zake kwa kua hakukamilisha
usajili ila badae akafika chuoni.Kuna siku nilimuomba tuonane akaniambia
niende kwenye hostel zao na ni mbali kutoka nilipo ingawa chuo ni
kimoja ila college tofaut umbali wake ni kama buguruni na mnazi mmoja
mana chuo hiki ni kikubwa dodoma na Tz nzima.Nilipofika kule alikuwa
apokei simu niliporudi nikamtumia sms ya kumlaumu na nikamwambia siongei
nae tena akaniomba msamaha na nikamsamehe.Kesho yake nikaenda tena
nikiwa nimependeza nilipofika nikaenda hadi hostel kwao hadi chumba
chake alikuwa peke yake.Alinikaribisha kiti na yeye akakaa
kitandan.Alinisifia nimependeza pia akasema anamatatizo mana amekuta
vitu vya ajabu kwenye diary ya boyfriend mimi nikamtongoza akawa
anakataa na akaniambia mimi ni handsome hataki presha mana mabinti
wengi watanipenda mwisho akasema atanijibu.Nilimtafuta usiku akasema
haiwezekani na kesho yake akaniambia anaye boyfriend.Nikamuuliza inamana
mimi hunipendi akasema ananipenda sana ila hawezi kumiliki watu wawili
nikimsumbua sana anaacha kuchat ndugu zangu nifanye nini huyu binti
nampenda sana silali kwa raha kwajili yake.

dogo soma raha sivo sap zinakusubir take note.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom