Nimesha rudi TZ marekani nili kuwa nime pata mwaliko tu wa kuzuria wedding ya brother yangu.muite aje marekani hune kama atakataa.
Sipo tena usa nimesha rudiMuite aje alaf umtoroke airport
mkuu kwani ulienda huko USA bila kumuaga mkeo?
acha nae, mtu mwenye kiburi wa nini?
Kunywa mkojo wa asubuhi umsahau.pole snSasa apo kwenye kumuacha ndo na jikuta siwezi kabisa
Yaani na jaribu kujifosi kumsau mpaka nime tongoza rafiki yake ime shindikana yaani
Yaani sijuwi ni tumie jia gani
Ulienda marekani sehemu gani, I mean which province?Nili muaga na nimesha rudi TZ kwasasa nili kuwa nime enda kwenye wedding ya ndugu yangu
Ulienda marekani sehemu gani, I mean which province?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Una umri gani mkuu na umeishia kidato cha ngapi?Sasa apo kwenye kumuacha ndo na jikuta siwezi kabisa
Yaani na jaribu kujifosi kumsau mpaka nime tongoza rafiki yake ime shindikana yaani
Yaani sijuwi ni tumie jia gani
Can you send me your Whatsap number ndugu yangu ili tuzungumze.Inaonekana ulipopata mualiko wa kwenda US hukumshirikisha ipasavyo mkeo,maamuzi yalikua ni yako tu pengine ni kwa ajili ya kitete cha safari,tatizo lako si kwamba lilianza baada ya wewe kufika US bali tatizo lilianza hata kabla hujaianza safari yako.
Kuna jambo unajaribu kulificha hapa,kua muwazi usaidiwe,kitendo cha mkeo kukwambia kua 'Nimekukataa ili nikuonyeshe kua Marekani sio kitu mbele yangu" kina ashiria kua uliithamini safari yako zaidi kuliko mkeo,sasa umesharudi na akili imekurudi.
Shauri yako mkuu, kitakacho kupata usije kusema wakulungwa hatuku kuambia.Sasa apo kwenye kumuacha ndo na jikuta siwezi kabisa
Yaani na jaribu kujifosi kumsau mpaka nime tongoza rafiki yake ime shindikana yaani
Yaani sijuwi ni tumie jia gani
Kama ulimuaga Je alikupa ruhusa?Nili muaga na nimesha rudi TZ kwasasa nili kuwa nime enda kwenye wedding ya ndugu yangu