Nifanye nini kumsahau huyu jamaa

Nifanye nini kumsahau huyu jamaa

Hama huo mtaa ili usiwe unamuona pia nipe namba yako
 
Umeiona PM yangu...??
Maana wengine tunawaza tutakipata lini
 
ukitaka kumsahau haraka fikiria mabatya yake tu usifikirie mazuri yake hata kidogo
 
hili tatizo linawakumba wadada wengi hasa wanapodhihirishiwa kupendwa, mwenza wang nilimpiga ban ya miez 3 after hapo nikamsamehe mpaka kesho ananiambiaga thaman ya kitu utaijua vizuri ukiikosa
ushaur wangu: kama ulikua unapuuza anachokwambia wanaume hua tunamisimamo sana tukikata kauli hivo endelea kumbembeleza kwa kufanya yale ulokua unapuuza atakuelewa tu baada ya mda
 
Ni mtu ambae nimekuwa nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakini ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jamani kuachwa kubaya hasa mtu unayempenda.

Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hataki mawasiliano kabisa.

Nimejitahidi kumpotezea kama mwezi hivi lakini nashindwa maana haipiti siku bila kuonana nae maana tupo karibu sana.

Mliopitia situation kama hii ilifanyaje ukaweza ku-move on, mapenzi yanayesa hasa naempenda kakuacha.

Yule mdigo ananitesa wallah sijui nifanyaje mwenzenu.

Umesema upepo ulipita akakupiga kibuti hujasema upepo gani japo inaonyesha wewe ndyo sababu ya kuachwa. ungesema umekosea nn mpaka akakuacha ili uanze jifunza hapo maana hata ukinipata mimi na ukarudia makosa pia naweza kuja kukuacha..................

cha kukushauri kwa sasa ni kujaribu kuanzisha mahusiano mapya ambayo yatakuwa mazuri zaidi ya hayo lazima utamsahau haraka saana.......
Angalizo: Usikurupuke kuingia katika mahusiano mapya kwa nia ya kumkomoa au kumsahau maana unaweza ingia pabaya
 
Pole sana, niruhusu nifanye utaratibu wa kukuhamishia karibu na kwangu, utamsahau mara moja!!
Ni mtu ambae nimekuwa nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakini ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jamani kuachwa kubaya hasa mtu unayempenda.

Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hataki mawasiliano kabisa.

Nimejitahidi kumpotezea kama mwezi hivi lakini nashindwa maana haipiti siku bila kuonana nae maana tupo karibu sana.

Mliopitia situation kama hii ilifanyaje ukaweza ku-move on, mapenzi yanayesa hasa naempenda kakuacha.

Yule mdigo ananitesa wallah sijui nifanyaje mwenzenu.
 
Unataka tukushauri nini wakati hauji kujibu maswali uku?
 
Back
Top Bottom