Nifanye nini kuepukana na tamaa mbaya?

Nifanye nini kuepukana na tamaa mbaya?

Padone EPM

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
623
Reaction score
912
Hakika kichwa kinajieleza Moja kwa Moja niende kwenye Mada husika

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 27--30. Sijaoa lakini nipo katika mahusiano mazuri na Binti Moja wa kikinga mwenye kila sifa nipendazo.

Lakini nimejikuta muda mwingi natamani sana kila mwanamke aliepita mbele yangu mwenye shape na sura nzurii niwe nae..

Kiufupi nashindwa kujizuia nifanyaje na mkinga wangu upendo upo pale pale ata nikitoka nao wote Bado najikuta narudi pale pale msaada jamanii nifanyaje!!??
 
Hakika kichwa kinajieleza Moja kwa Moja niende kwenye Maada husika

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 27--30. Sijaoa lakini nipo katika mahusiano mazuri na Binti Moja wa kikinga mwenye kila sifa nipendazo.

Lakini nimejikuta muda mwingi natamani sana kila mwanamke aliepita mbele yangu mwenye shape na sura nzurii niwe nae..

Kiufupi nashindwa kujizuia nifanyaje na mkinga wangu upendo upo pale pale ata nikitoka nao wote Bado najikuta narudi pale pale msaada jamanii nifanyaje!!??
huwezi kushinda tamaa hadi uokoke, mpe Yesu Maisha yako akuwezeshe, alikufa na kufufuka kwa ajili yetu ili kutoondolea dhambi, tamaa ya dhambi na nguvu ya kushinda dhambi. Yesu akiwa moyoni kweli kweli, uzinzi unauona kama mmavi, dhambi unaihisi ni chukizo kabisa na hata hauhitaji kutumia nguvu zako, zaidi ya yote tamaa mbaya au niseme dhambi inakuwa inakukimbia na hata ikikukaribia unayo nguvu ya kuishinda. otherwise, utaendelea kuwa hivyo na mwisho wake ni mbaya kwako kimwili na kiroho jehanum ya moto. Yesu anakupenda, hata hayo mahusiano uliyo nayo ni ya uzinzi, oa, uasherati ni chukizo kwa Mungu, na waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Back
Top Bottom