Nifanye nini katika kakiwanja kangu?

Nyamtala Kyono

Senior Member
Sep 23, 2010
163
34
Heshima kwenu wadau.
Nina kiwanja changu kidogo square metre 700 kiko maeneo ya bomba mbili Dar. Nafikiria kitu cha kufanya. Niweke mradi gani hapo? Kufuga naona hili ni kama eneo dogo sana kwa ufugaji. Kujenga fremu pia ni wazo,lakini eneo bado halijachangamka na umeme haujafika ingawa uko jirani n.k, n.k. Niko confused kabisa. Haka ndio ka kiwanja pekee niliko nako katika possession yangu...mimi ni mhanjaji tu kama mtanzania wa kawaida anayefanya vijisaving vyake hivyo wazo la kuanza ujenzi wa nyumba(ya makazi) kidokidogo pia lina ingia kichwani.

N.B Wakati fulani nilifikiria pia kuchimba kisima,ili mradi mawazo ya kila aina

Naomba ushauri wenu.

Heshma kwenu

wasalaaam

N.K
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
544
Bomba Mbili in Dar iko wapi?Wzo la kisima ni zuri zaidi,ila kuna risk ya kupata maji ya chumvi . ukiweza Jenga Kanisa kwani ni hall tu weka viti vya plastic ,mike na spika mbili 3,piga uzio wa makuti halafu Tafuta mchungaji kutoka Kenya yeye atafanya kazi yake mwisho wa mwezi unachukua chako.anyway ukishindwa kabisa usijali NIUZIE mimi ,nikupe mahela. :)
 
TEMPOLALE

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
302
107

Awatukanaye wachungaji hawachagulii tusi.
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
544
Awatukanaye wachungaji hawachagulii tusi.
Mkuu,kuna Kijana mkikuyu nimeongea naye ,anafanya kazi ya kuhubiri injili na mafanikio anayo,anataka kukodi gari kwa ajili ya kutoa HUDUMA yupo tayari kulipa 40,000 per day.
Huyo kijana amegombana na Mtumishi mwingine(naye ni Mkenya) chanzo cha malumbano hayo ni maslahi ya kifedha na zawadi kutoka kwa waumini wa neno la bwana.
having said that ,it seems there is a demand for Facilities for provisional of Spiritual services.
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Mzalendo umenichekesha sana! kwanini hukusema atafute mchungaji toka Nigeria?
Bomba Mbili in Dar iko wapi?Wzo la kisima ni zuri zaidi,ila kuna risk ya kupata maji ya chumvi . ukiweza Jenga Kanisa kwani ni hall tu weka viti vya plastic ,mike na spika mbili 3,piga uzio wa makuti halafu Tafuta mchungaji kutoka Kenya yeye atafanya kazi yake mwisho wa mwezi unachukua chako.anyway ukishindwa kabisa usijali NIUZIE mimi ,nikupe mahela. :)
 
vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
998

kama una stress ingi JF. zitaisha tu.
 
  • Thanks
Reactions: LAT

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,780
1,834
Mkuu, kule bado hapajachangamka sana ila kwa kisima ingekulipa hata kama maji yatakuwa na chumvi utapata watu wakujenga, kule watu wengi wanajenga. Maeneo ya moshi baada au kwa diwani ndiyo pamechangamka, ufugaji unahitaji usimamizi wa karibu.
 
Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
832
otesha mipapai yako kumi au kumi na tano then baada ya miezi sita rudi kuvuna
 
Nyamtala Kyono

Senior Member
Sep 23, 2010
163
34
Mkuu, kule bado hapajachangamka sana ila kwa kisima ingekulipa hata kama maji yatakuwa na chumvi utapata watu wakujenga, kule watu wengi wanajenga. Maeneo ya moshi baada au kwa diwani ndiyo pamechangamka, ufugaji unahitaji usimamizi wa karibu.

Asante kaka, angalau dunia bado inao binadamu considerate kama wewe
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
544
Vipi mbona hutupi feedback,Nyamtala ?
Tuletee picha ya kiwanja chako tukushauri vizuri.
 
Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
824
weka kuku wa kienyeji au wa mayai wa kisasa maana hawaitaji taa za umeme usiku kucha unaweza tumia taa ndogo za solar. Pia mayai unaweza subiri yawe mengi ukayafuata na kuuza mjini. Mbolea tumia kuoteshea miti ya matunda sehemu unayoplani kubakiza kama bustani ukijenga baadae. Nina plan kama hii kwenye plot yangu ingawa ni kubwa kidogo
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
544
ushapata majibu mkuu.ninahamu kujua umefanyia nini plot yako_Offer yangu bado ipo palepale Mkuu
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,470
271
Heshima kwenu wadau.
Nina kiwanja changu kidogo square metre 700 kiko maeneo ya bomba mbili Dar. Nafikiria kitu cha kufanya. Niweke mradi gani hapo? Kufuga naona hili ni kama eneo dogo sana kwa ufugaji. Kujenga fremu pia ni wazo,lakini eneo bado halijachangamka na umeme haujafika ingawa uko jirani n.k, n.k. Niko confused kabisa. Haka ndio ka kiwanja pekee niliko nako katika possession yangu...mimi ni mhanjaji tu kama mtanzania wa kawaida anayefanya vijisaving vyake hivyo wazo la kuanza ujenzi wa nyumba(ya makazi) kidokidogo pia lina ingia kichwani.

N.B Wakati fulani nilifikiria pia kuchimba kisima,ili mradi mawazo ya kila aina

Naomba ushauri wenu.

Heshma kwenu

wasalaaam

N.K
Mcha Fremu ya bidhaaa... jioni funga fremu weka viti vichache bia na viroba..... ulete mrejesho humu...
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom