Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Heshima kwenu wadau.
Nina kiwanja changu kidogo square metre 700 kiko maeneo ya bomba mbili Dar. Nafikiria kitu cha kufanya. Niweke mradi gani hapo? Kufuga naona hili ni kama eneo dogo sana kwa ufugaji. Kujenga fremu pia ni wazo,lakini eneo bado halijachangamka na umeme haujafika ingawa uko jirani n.k, n.k. Niko confused kabisa. Haka ndio ka kiwanja pekee niliko nako katika possession yangu...mimi ni mhanjaji tu kama mtanzania wa kawaida anayefanya vijisaving vyake hivyo wazo la kuanza ujenzi wa nyumba(ya makazi) kidokidogo pia lina ingia kichwani.
N.B Wakati fulani nilifikiria pia kuchimba kisima,ili mradi mawazo ya kila aina
Naomba ushauri wenu.
Heshma kwenu
wasalaaam
N.K