Nifanye nini jamani

sioni cha kukufanya uwaze mtu kakupa hela kwa nia njema tena anahama sasa tatizo nini fanya biashara na hata kama kiuchumi unajiweza pesa haikosi mahitaji
 

ebu toa ujinga kwani kuna shida gan? kakupa zawad anatambua uwepo wako.kabisa hana nia mbaya
 

dongola ebu nitumie no yake huyo maana una woga wa kitoto.plz
 
Siamini mwanaume anaesema nimechaguliwa mke na wazee wake, huyu alikuwa anasafisha rungu tu. Chukua pesa hizo na move one with your life. Akileta mahusiano tena sijui nini ujue atakuchezea tena...

Tumia Bongo lakini pesa usiache!
 
Rudia maelezo yangu nilikuambia hivi nilifikir ni wewe nikijua kua aliepost hiyo mada n.wewe nikjue kwa kipi ntajuana na wangapi sasa ebo!!
kujuana na wangapi is your private business.
 
dah kula hela wewe mambo mengine baadae
 
mhhh milioni 4 kama huzitaki nipe mm nitakulipa mwakani usipeleke maji baharin
 
Kuachwa nae kumekuumiza Sana,pole Sana,chukua mpunga binti,maisha yasonge mbele...
 
yaani hili swala la kupewa pesa unamuuliza madhee....chukua mkwanja huo kajiendeleze kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…