Si ulikata mawasiliano?kapataje no yako?chukua pesa kula kona lols
Si ulikata mawasiliano?kapataje no yako?chukua pesa kula kona lols
Use your head. Nikisema nimekata mawasiliano it means upande wangu. Seemingly the dude still kept her number
Mnh ukate mawasiliano afu ukeep number ile ile?strange!
ni mwaka na miezi 2 imepita sasa tangia niachane na ex huyu kiukweli 2lipendana sana tuliachana coz wazazi wake walimchaguli mke wa kumuoa coz aliwaheshimu sana wazazi wake hakutaka kupingana nao alifanya vile walivyotaka na huo ndo ulikuwa mwisho we2 kiukweli alitoka kwenye familia yenye uwezo na alikuwa mfanya biashara tofauti na mimi familia yangu ya kawaida 2.na baada ya yeye kuoa nilikata kabisa mawasiliano naye lakini jana asubuhi nilipokea sms kutoka kwake aliandika hivi(wewe ni mwanake wa pekee kwangu kamwe sito kuja kukusahau pokea pesa izo nimekuingiazia kwenye acount yako kiasi cha sh.milioni 4 naomba nikupatia zawadi iyo kama kukumbu yako kwangu taree 13 mimi na mke wangu 2naamia italy kwa heri na ubaki salama) nimebaki njia panda nifanye nn naogopa kuzitumia hizi pesa nimemshilikisha mama yangu kanishauli niziludishe naitaji mawazo yenu nifanye nn nimludishie pesa zake coz now kiuchumi najiweza na siitaji kabisa mawasiliano naye na naogopa pesa hizi isije ikawa chanzo cha mm na yeye kuwasiliana.
Kukata mawasiliano na kubadili number are two different things.
How do i change my no and keep mawasiliano still?
Unawaza mbali kumbe mtu kakupa as a good will kama huna mume/mchumba tumia hiyo pesa lakini kama una mume angalia kisiwe kitanzi cha ndoa yako akijua lakini sidhani km huyo bwana ana nia mbaya
Jitahidi wakati ujao uandike ki-utu uzima maana siku nyingine tunaweza kukupuuza kwa uandishi uliotumia uhitajipo msaada. Kama hukujibu ujumbe aliokutumia kwa simu fanya upige kimya ili mdau aendelee kuwa na viulizo kama umeafiki au la. Na mpunga ufanyie mambo zako kuliko kurudisha kwa mdau ambaye ametoa kiroho safi na pia haya maisha yanaenda mbele, leo yeye kakusaidia yawezekana kesho ikawa zamu yako kutoa msaada si tu wa kifedha bali hata mawazo chanya.
How are the two related?
We kula au kama vipi nitumie mimi kwenye tigo pesa yangu 0656123456
How do i change my no and keep mawasiliano still?