^^hapo kwenye pesa hapo ndo pazuri zaidi
- hakikisha hela yako mkeo anaifaidi ata kama anafanya kazi asubuhi hakikisha msimbazi unasomeka mezani.
- usikorome korome ndani ya nyumba
- usimzoee mkeo kiasi kwamba uoni jipya
- mpende mkeo / mgegede vizuri
- try to have funny with u're wife all the time you get chance.