Nifanye nini ili niwe mume bora?

Nifanye nini ili niwe mume bora?

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,649
Reaction score
21,523
Habari za siku wadau wa MMU

Nilipotea sana huku na kuhamia kwa wakubwa ila kila mara uwa nachungulia huku na kupata mawili matatu. Najua siku hizi kumepooza kidogo na masihala yamekuwa mengi ila ninauhakika kuna watu wengi wanajifunza kupitia MMU

Hoja yangu:

Wanawake, je ni vitu gani muhimu mnahitaji ili kumfurahia mme? naomba mviorodheshe vingi ili kila mtu afaidike na mada hii maana siku hizi wanawake wengi wanasema waume zao wapo wapo tu je mnahitaji nn kutoka moyoni kufanya maisha ya ndoa yawe mazuri?
 
Hakikisha waleti imetuna mda wote na benki atm isome digits za maana!!
 
Spend that money on ya wife. Wanawake tunapenda sana utumie hela for me. Mi mwanaume anaejenga nyumba kwa future yetu simuoni wa maana kama anaeninunulia jicheni la gold gram 40 au madini! TEAM HATUCHOVYI!

Simply coz nyumba kajenga kwa interest zake zikiwemo bt the gold n minerals he did that interly for me!
 
Jando bado linahitajika kwa Vijana wa kileo
 
Mwanamke mwenyewe hajui anataka nini unaweza jinyenyekeza kwake ukampa anachotaka hadi dhahabu za kale kutoka Dubai na bado akakupeleka motoni!! Mfanyie vile Mungu anakujalia don't fake!!
 
Jando bado linahitajika kwa Vijana wa kileo

Mie sio kijana wa kileo kivile na nimeenda jando la kimakonde. Dunia ya leo iko tofauti na mafunzo tuliopewa jando kuwa mwanaume bora ni yule anayelima kwa bidii na kupata mazao ya kutosha sasa naishi mjini nitalima lami. Jando tupa kule
 
Kina dada fungukeni watu wabadilishe life style, ndoa nyingi hazina ufanisi kwa ili
 
Spend that money on ya wife. Wanawake tunapenda sana utumie hela for me. Mi mwanaume anaejenga nyumba kwa future yetu simuoni wa maana kama anaeninunulia jicheni la gold gram 40 au madini! TEAM HATUCHOVYI!

Simply coz nyumba kajenga kwa interest zake zikiwemo bt the gold n minerals he did that interly for me!

Alafu akishakupa ilo gold badala ya kujenga nyumba mtaishi vichakani???? !!!!!
 
Mie sio kijana wa kileo kivile na nimeenda jando la kimakonde. Dunia ya leo iko tofauti na mafunzo tuliopewa jando kuwa mwanaume bora ni yule anayelima kwa bidii na kupata mazao ya kutosha sasa naishi mjini nitalima lami. Jando tupa kule

We! ishia hapo hapo dume la kimakonde lililoenda jando haliwezi kuandika na kuuliza upuzi kama huu. Huna cha jando wala nini we sema unataka maujanja ili usimpoteze yule miss ... hapo utaishia presha tu!
 
nachouliza wala sio maujanja ya kitandani kuna vitu vingine vya nje mbali na kitandani ndio nataka kusikia hapa, nauliza hivi na nime-generalize najua itawasaidia wengi. Kwenye maisha kuna vingi unaweza ukawa unamtosheleza mwanamke kitandani na kifedha ila bado analalamika kuwa huna mapenzi au unakuta anatoka hata nje. Wanawake kuna vitu wanavifikiria sasa ni vp ili uwe mume bora.

Nadhani nasomeka hapo.
 
kuwa mume bora ni kumjali mkeo na na kuhakikisha kuwa wafanya yale yote yampayo furaha.

too general unajua kibongo bongo unaweza ukaishi kwenye ndoa mpk mnazeeka hujui mwenza wako anapenda nn, kila kitu akieleweki. Mjaribu kuorodhesha kuna watu wengi vitawasaidia
 
Uwe kiongozi wa Familia na Kichwa cha familia....
 
Spend that money on ya wife. Wanawake tunapenda sana utumie hela for me. Mi mwanaume anaejenga nyumba kwa future yetu simuoni wa maana kama anaeninunulia jicheni la gold gram 40 au madini! TEAM HATUCHOVYI!

Simply coz nyumba kajenga kwa interest zake zikiwemo bt the gold n minerals he did that interly for me!

Mh! Hii ya leo shost kali
 
  • hakikisha hela yako mkeo anaifaidi ata kama anafanya kazi asubuhi hakikisha msimbazi unasomeka mezani.
  • usikorome korome ndani ya nyumba
  • usimzoee mkeo kiasi kwamba uoni jipya
  • mpende mkeo / mgegede vizuri
  • try to have funny with u're wife all the time you get chance.
hapo kwenye pesa hapo ndo pazuri zaidi
 
Back
Top Bottom