kalamata
Senior Member
- Apr 16, 2011
- 144
- 29
Wana Jf wenzangu,umri kidogo umenipita nakaribia miaka 50 sasa,nimebahatika kupata zawadi kiji-Laptop na sina taaluma ya kutosha zaidi ya kufungua Fb na E-mail,huwa najisikia unyonge sana ninapoona wana-Jf wakifahamishana mambo ya taaluma humu ambayo kwa mimi sijui chochote na natamani kua kama nyinyi, lakini bahati mbaya miaka nayo imesonga,hivi ni kweli kwa umri wangu kama nitakwenda kusoma na kujiendeleza nitafikia angalau hapo mlipo nyinyi ki-taaluma?maana naamini wengi humu Jf ni vijana mliotoka vyuoni.Kwa kweli nakuoneeni wivu sana maana wenzetu mnafaidi kweli,Ma-Utube sijui na mambo kadha wa kadha,Ahhhh jamani Mbarikiwe sana.