Brother, clearly hujui matunda na umuhimu wa Technology!! High tech that we have now is of high importance to everyone, haijalishi una umri kiasi gani. Nilisoma one story once kuna familia mtoto alikua anaumwa sana, na baada ya kuzunguka kwa madaktari kwa muda mrefu there was no hope. Ila siku moja Bibi katika hio familia aliingia Google akasearch mtandaoni na kufanikiwa kupata group la watu online ambao watoto wao walikua na similar symptoms na akajiunga. Alifanikiwa kukutana na wamama wale, na yule alieanzisha group alikua ni victim na alifanikiwa kumtibu binti yake aliekua na ugonjwa huo. At the end, walifanikiwa kumtibu na wanaendeleza campaign online kwa wanawake wengine with similar problem. So regardless una umri gani technology(especially the internet) ni muhimu maishani kwa kila mtu. Tena youtube is the best place 2 be, imagine tutorials ngap anaweza angalia kumsaidia na tatizo lolote analoface, not to mention entertainment. All in all nakupongeza for what you've decided to do, watu wengi with your age hawataki hata kuskia, mama angu tu hataki hata kugusa PC(mara nyingine anasema itamwambukiza Virus) nmeshaongea mpaka nimechoka so congrats and all the best mkuu