BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,240
- 11,913
na kwa nini ajitese hivo?
Kama Ni Mnywaji
na kwa nini ajitese hivo?
yaani wewe? umenishinda tabia.dah yaani umenichanganyia mambo mpk nimecheka nikajamba mesini
Habar ya jion hii wakuu; naomba msaada wenu nifanye nn juu ya huyu mwanamke maana katka maisha yang hasa ulimwengu huu wamapenz hii ndo mara ya kwanza kunitokea_ yaan kumuacha mwanamke kwa ridhaa yangu thn nikaendelea kumuaza.
Simply Kunywa Viroba Nakwambia Utasahau Kabisa Na Ukilala Unapata Usingizi Munono