Nifanye nini ili nisiendelee kumuaza

Nifanye nini ili nisiendelee kumuaza

mavangah

Senior Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
113
Reaction score
23
Habar ya jion hii wakuu; naomba msaada wenu nifanye nn juu ya huyu mwanamke maana katka maisha yang hasa ulimwengu huu wamapenz hii ndo mara ya kwanza kunitokea_ yaan kumuacha mwanamke kwa ridhaa yangu thn nikaendelea kumuaza.
 
Kuwa busy na mambo yako

Kuwa na marafiki muda mwingi

Epuka kufanya vitu ambavyo mlifabya pamoja na kurudisha memories
 
Pole kaka kwa ushauri wangu jaribu kuwa mbali na vitu vyote ambavyo vitafanya uzidi kumkumbuka
Na usidhani itakuwa rahisi sana kumsahau but u have to be a real gentleman

Kuwa bize na mambo yako, tafuta marafiki wapya wa jinsia zote za kike na kiume

Usipende sana kuintertain mawasiliano na huyo mtu kwan kufanya hivyo n sawa na kuziba pipa kwa juu wakati chini kupo wazi

Yote kwa yote mungu akusaidie maana kumsahau mtu uliyemoenda n sawa na kumkumbuka mtu usiyemjua
 
ivi unaanzaje anzaje kumuwaza mtu asiyekua na habari na wewe mkuu?mambo mengine ni kujiendekeza tu..wanawake kibao wako single na wanatafuta mabwana then we unakuja kujiliza humu!!
##chagua magufuri jamaa yangu###
 
Ukiona yamezidi kapige goti bwana mapenzi matamu kwa anayejua kuyaenzi
 
Amua moyoni mwako kabisa kuwa humuhitaji tena.
Kila wazo lake linapokuja imagine jinsi ambavyo hana habari na wewe, kasirika tupa wazo nje.Futa number zake, picha zake, kila kumbukumbu zake.
Kibinadamu taswira ya kumbukumbu zake itakuwepo ila motive ya kuwa naye ikifa itakua sawa na kumbukumbu ya kifo tu, haina madhara.
Pole.
 
ivi unaanzaje anzaje kumuwaza mtu asiyekua na habari na wewe mkuu?mambo mengine ni kujiendekeza tu..wanawake kibao wako single na wanatafuta mabwana then we unakuja kujiliza humu!!
##chagua magufuri jamaa yangu###

dah yaani umenichanganyia mambo mpk nimecheka nikajamba mesini
 
inategemea ni demu wako wa ngapi na mlishafaya mambo gani kwenye mapenz yenu na je kuna mtu mwingine umempata baada ya kuachana nae au bado upo upo tu........!!!!!!!!!!!!!!??????
 
ivi unaanzaje anzaje kumuwaza mtu asiyekua na habari na wewe mkuu?mambo mengine ni kujiendekeza tu..wanawake kibao wako single na wanatafuta mabwana then we unakuja kujiliza humu!!
##chagua magufuri jamaa yangu###
tang'ana the lord of darkness.
 
Last edited by a moderator:
ivi unaanzaje anzaje kumuwaza mtu asiyekua na habari na wewe mkuu?mambo mengine ni kujiendekeza tu..wanawake kibao wako single na wanatafuta mabwana then we unakuja kujiliza humu!!
##chagua magufuri jamaa yangu###
tang'ana the lord of darkness at work
 
Last edited by a moderator:
Simply Kunywa Viroba Nakwambia Utasahau Kabisa Na Ukilala Unapata Usingizi Munono
 
Back
Top Bottom