Nifanye nini ili nimpate mwanangu?

Nifanye nini ili nimpate mwanangu?

Mimi sana sana ninachohitaji ni kuwa na mwanangu na kumlea katka mazingira nnayoishi mimi na siyo alelewe huko abroad
cha msingi dumisha mawasiliano na mama,mwache amlee,akishafika 10+ atakutafuta ye mwenyewe.ukileta ujuaji hutampata tena,
 
Tanzania kuna viwanda vya kuzalisha wazungu ndio maana kuna watalii kutwa wapo kuja kutafuta wazalishaji manake wanaume wengi huko kwao mangese. Kama viwanda vyenyewe hivi Magufuli wazungu watakupenda
 
Sasa ndo huyo kashamkimbiza huko kwao..
Unafikiri mkuu hapa ntumie njia gani ili niweze kumpata?
Umpate wa nini u never cared about him hadi ***** kaolewa,
Sanasana pangeni uwe labda unamuona mtt mara kadhaa
 
Changamoto ni kuwa mleta uzi na mzazi mwenzako mliahidiana kuwa angerudi muanzishe familia. Swali ni je uliitunza ahadi? Umejiuliza ni lini mama mtoto wako alirudi Tanzania bila wewe kujua? Yawezekana alikufuatilia na kujua umeisha oa akachukia.
Kumbuka watu jamii ya mzazi mwenzako ni watu wa kufuata /kupenda ahadi itimizwe. Utafute ukweli na uushughulishe ubongo wako kutafuta suluhu. Ukweli na uaminifu huizidi sheria. Ni mawazo yangu tu mkuu.
 
Acha asira zizosaidia..Fanya utaratibu za ustawi wa jamii..mtoto utakuwa unamuona lakini hawawez kukupa sababu umri wake mdogo.
 
Mimi sana sana ninachohitaji ni kuwa na mwanangu na kumlea katka mazingira nnayoishi mimi na siyo alelewe huko abroad

Huko abroad si wanasema maisha mazuri, maendeleo juu, teknolojia juu, elimu iko purified shida yako nini??
 
Wewe si umesema mlikua mnawasiliana? Sasa ulishindwa nini kutuma matumizi? Miaka minne!!!! No matumizi from no where eti namtaka mtoto wangu seriously? Hata yeye hataki alelewe Na mwanamke mwingine sawa.
Sasa akituma elfu hamsini ya uji wa mtoto kule norway ile EURO yao ikichenchiwa itakuwa sh ngapi?? Kazi kwelikweli.
 
Tanzania kuna viwanda vya kuzalisha wazungu ndio maana kuna watalii kutwa wapo kuja kutafuta wazalishaji manake wanaume wengi huko kwao mangese. Kama viwanda vyenyewe hivi Magufuli wazungu watakupenda
Hahahaaaaa
 
Tumia sheria,itakusaidia...sijui kwanini anakufanyia hivi aaah..
 
Ulivyo elezea unaonyesha wazi kua sio mngoma mshauku tuu, tangu mwanzo ulikua Baba suruali baada ya miaka mi4
unataka mtoto tena muheshimu huyo mwanamke anakulele mwanao,eti sitaki mwanamme mwengine anilele mwanangu
are you serious? miaka yote hiyo ulikua wapi? unakumbuka shuka kushakucha!! as long as hujitambui tulia siumesema unae mtoto mwengine,lea huyo ulokua nae anakutosha usitake wambali wakaribu una henya henya nae....
 
Back
Top Bottom