Nifanye nini ili niitwe kamati ya uongozi na haki za Bunge?

Nimekuwa na interest ya kuona kamati hii inayotikisa nchi ikoje na inafanya je kazi zake.

Naamini kama pasco aliwahi kuitwa kama raia, basi na mimi nitaweza pia...!
Itisha press conference hata iwe ya kizushi kama za Musiba, rusha kwenye YouTube watakutafuta...libagaze bunge kwenye hiyo press conference.

Ila angalia usije ukatafutwa na wasiojulikana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta gazeti la upinzani halafu omba au lipia ukurasa na uandike maoni yako KONK ya kuhusu bunge..nakuhakikishia hayatapita masaa 48 bila jamaa kusema eitha uje kwa hiari au kwa pingu

Wa sangara
 
Mbona rahisi sana kuitwa kwa ile kamati. We fanya moja wapo kati ya hayo wadau wajuu waliokushauri.
Ila omba usitafutwe na wale wasiojulikana ila kama uko fiti kama Zakaria wa Musoma yule poa tu haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa na interest ya kuona kamati hii inayotikisa nchi ikoje na inafanya je kazi zake.

Naamini kama pasco aliwahi kuitwa kama raia, basi na mimi nitaweza pia...!
Weka id yako kamili na ujulikane mpaka serikalini alafu uandike cha kukosoa bunge au serikali ya awamu ya 5 hii
 
Nimekuwa na interest ya kuona kamati hii inayotikisa nchi ikoje na inafanya je kazi zake.

Naamini kama pasco aliwahi kuitwa kama raia, basi na mimi nitaweza pia...!
Tengeneza bango liandike "****** AME POO KWENYE BOKSA"
Fasta mwanangu.
 
Nimekuwa na interest ya kuona kamati hii inayotikisa nchi ikoje na inafanya je kazi zake.

Naamini kama pasco aliwahi kuitwa kama raia, basi na mimi nitaweza pia...!
Andika hv Baba wa taifa ni Baba Taifa tu Ndio maana mwalim Nyerere alijenga kiwanda cha mkonge Tanga sababu mkonge unalimwa kwa wingi Tanga hlf akajenga hospital ya MILEMBE Dodoma Sababu ya ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa na interest ya kuona kamati hii inayotikisa nchi ikoje na inafanya je kazi zake.

Naamini kama pasco aliwahi kuitwa kama raia, basi na mimi nitaweza pia...!
Muunge mkono CAG kwa kuitisha PRESS

Kesho yake upo Dom usiniulize utafikaje.
Hata kwa Pingu na mijeledi ya kutosha utahojiwa na bandeji kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna rahisi ya kuitwa ni kuwakejeli mpaka wapate attention yako hila sasa inategemea na nafasi yako ndani ya jamii na heshima yako uliyojijengea.

Ukiwa alwatan utaitwa halikadhalika ukiwa kama akina siye chances utaishia mikononi kwa kamanda Mambosasa na jela siku kazaa inahusika.
 
Back
Top Bottom