Wadau naomba kujua mwenye uzoefu kuku wangu wa mayai wana mwezi wa Saba na nusu ila bado kwa siku naokota mayai 15 mpaka 20 wako 100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nini hiyo mkuu fafanuaTumia AMIN TOTAL utakuja kunishukuru hapa