Nifanye nini hapa jamani ushauri wenu


Muitie wakubwa zake wamchukue sio unamuweka tuu.....mm naona kama vle bado wampendaa ila waogopa kuliwa
 
Kwa mambo uyafanyayo mimi nadhani tayari usharogwa kilichobaki ni kuliwa kiboga tu...na utaliwa muda si mrefu!!

Halafu naomba utoe dili kwa kampuni yangu la kusupply jeneza, sanda na maua siku huyo marehemu mtarajiwa mtishia kunywa sumu akijiRIP...

Maandalizi mema ya msiba...adios!!!
 

hebu mkorogee hiyo sumu halafu mpe anywee na akigoma kunywa mwambie arudi kwake upesi.
 
mtu aliyedhamiria kukudhuru hawezi sema anakuroga huyo mwoga tu. we mpige biti kwamba alikuibia mke ikiwezekana mpeleke kwenye serikali za mitaa kwamba anakutishia maisha wakati yeye ndiye alikuibia mke. life is like a game, if you don't make a move inakula kwako. for the time being tafuta hii underpant.
View attachment 210695
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…