Nifanyaje

Nifanyaje

Njia nzuri ya kutoka kwenye hilo jaribu ni kusoma kwa bidii sana mpaka uitwe "John Kisomo" ..

Hizo tamaa za mwili achana nazo kwa kipindi hiki, hazitakusaidia chochote sana sana utaridhisha mwili kwa siku moja huku ukigombana na Msela wa huyo 'Rafiki wako wa kike'...

Tamaa mbaya, Piga kitabu broo ubukue..HAWA VIUMBE WAPO TU!
 
Asantee mkuu kwa ushauri

Hahaha mkuu
Etiii! ana boy wake! duuh!

huyo wako huyoo usimuache kula papuchi mgee na mkopo kibishi..ukidakwa ndo utajua chuo ulienda kula papuchi za mkopo ama vepeeeee
 
Tabia za mtoto wa kiume unamzoe Sana demu wa Boy mwenzako mnazitoa wapi apo huwezi chomoa kashakuona shost wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom