Nifanyaje niweze kupenda tena?

Nifanyaje niweze kupenda tena?

MeToo

New Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
3
Reaction score
0
mimi ni kijana wa kiume hapo nyuma nishawahi kumpenda binti mmoja kupita maelezo nikiwa kidato cha sita mwishoni, aliniacha bila sababu za msingi since then sijawahi kupenda kiukweli, naishia kuumizana tu na wasichana but honestly natamani kumpenda mmoja tena ila cjui inakuwaje hv kuna jinsi unaweza fanya kupenda tena?
 
hujampata bado wa kumpenda ukimpenda mwenyewe utaona by the way tulizana mkuu maradhi hamsini kidogo siku hizi
 
hujampata bado wa kumpenda ukimpenda mwenyewe utaona by the way tulizana mkuu maradhi hamsini kidogo siku hizi

kwa sasa nimetulia kama maji kwa mtungi nami naogopa hayo maradhi mkuu and thank you kwa ushauri wako.
 
kwa sasa nimetulia kama maji kwa mtungi nami naogopa hayo maradhi mkuu and thank you kwa ushauri wako.

afadhali Mola hukupa yule unendana nae ndugu yangu kama umetulia ni heri..................there is no need to rush if something is meant to be it will happen, in the right time, with the right person, for the best reason.
 
[h=1]MeToo
user-online.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date
21st April 2015
Last Activity
Today 12:51
Avatar
unknown.gif

[h=1]Me too
user-offline.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date 9th February 2015 Last Activity Today 08:37 Avatar
avatar272968_1.gif

Cc: Tyta & Watu8 & Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Piga goti kwa mungu akupe wako wa maisha na iman utajibiwa na mungu n yupi
 
Acha haraka na usubiri, utampata tu wa kumpenda wewe mwenyewe utajiridhisha kuwa umempenda, maana kumbuka "kupenda si kazi ila kumpata akupendaye" - tulia ili uje umpate utakayempenda na yeye akupende. Hapo itatulia sana.
 
Thats it
 
Sakanya bro; Hashuki mbunguni ka manna! Lazima uweke vigezo na uvifuate utaona maajab. Akija the right person, hutaambiwa wala hatajipitisha pitisha bali ni Love on first sight.
Mapenzi hayafunzwi humu jf, huja, humea, huchipuka (Sprout) hu..hu..hu.. yenyewe
 
Tulia muombe Mungu utapata tu mkuu wanawake wa Leo wengi wao wameharibika na hawajui upendo tena wanachojiali ni Pesa.
 
mimi ni kijana wa kiume hapo nyuma nishawahi kumpenda binti mmoja kupita maelezo nikiwa kidato cha sita mwishoni, aliniacha bila sababu za msingi since then sijawahi kupenda kiukweli, naishia kuumizana tu na wasichana but honestly natamani kumpenda mmoja tena ila cjui inakuwaje hv kuna jinsi unaweza fanya kupenda tena?

forever living wana dawa flani inatibu hiyo mambo wacheki mkuu baada ya wiki uje kuwapa washirika mrejesho,, utakua unavifeel mpk vitoto vya chekechea.
 
ilikuwa tuition maana safari ndefu....alikuwa na ashki tuu usikute kupenda ni kupana sana
 
Back
Top Bottom