Nifanyaje nimsahau?

Unamwita msaliti kumbe nyote wasaliti mnasalitiana sjui hua tunatakaga nn sisi wanawake ulishasema umempenda hivohivo Na maisha yake ya kutokueleweka huyo Felix mmekutana tu mmeanzisha mahusiano paaaap nyie ndio mnatufanyaga wanake wote tuonekane vituko umevuna ulichopanda umeyavulia nguo maji huna Budi kuyaoga
 
Mmmmmh shost nawe wajiita mke wa Fulani mtarajiwa hapo baadae unangonoka Na mtu humjui status yake what if he has hiv or hepatitis B you are so careless am sorry to tell you that unajielezea kabisa akakupiga deki ukachomeka pincharger aiseeeee
Wengi hujuta baadae hawana Uwezo wa kujizuia. Kumbe uzima ni zaidi ya nayo marahaaaa
 
Kabla ya kujutia alipaswa ajijue yuko wapi awaze hasara zipatkanazo aendako mihemko n mibaya mweeeeh
Wanawake sasa hivi wanahemkia orgasm kumbe ile ni namna wewe unavyojiweka kwa mwenzako HIV hepatitis vipo jamani maisha ni zaid ya lami so tujiulize 100,100

Hata kwenye ndoa unaweza pata mwanamke akuridhishi lakini unaona mtu mzima kuvua kila mwanamke nguo, kila mtu ajue size yako unafundisha yanayowezekana yanayoshindikana unayaacha yalivo
 
Wenyewe tunaona n utandawazi ujinga mtupu mwenyewe anajielezaaaaaaaaaaa uhusiano wa kikawaida kashindwa kutulia akiolewa huyums atamaliza ukooo
 
Duuuuh aseee... boyfriend wako angejua uliyokua unafanya na felix.. nae angechanganyikiwa kama wewe...
Nasubiri muendelezo jamani...
 
Hii story iliishia wapi, dadekiiiii kitu kitamu balaaa
 
patamu sana hapathread ya ukweli kinoma...nakupabigup umeleta matukio mazuri yakujifunzana kusisimu ajapo ni true story....ila mh story imehamasisha ........
 
umenigombanisha na mke wangu, maana nimedinda wakat nasoma ghafla kaona anauliza nini kinaendelea jf/ kumpa asmoe, du, nasisi tumenzia hapo hapo, mbaya humba kimoja kumbe mtt alikuwa anapiga chabo.
kumbe niliyedinda sio mimi tu
 
 
Sasa wasema umepata mateso hadi huwezi kuelezea,huu uzi umeufungua ili ufanyaje
 
Kwanza mpaka hapo ushafanya makosa tena makubwa na Ww ni msaliti mkubwa,tubu kwa mola wako na ufunge ndoa na huyo aliyekuwa na Ww katika shida na raha,huyo felix kashakuchezea now kakuona huna thamani tena kwake na ukiwa mjinga utakosa bara na pwani
 
Yep! Jomba.................umenikosha sana, Hasa ile mishe ya protect your home
hahah mule mule game addicts au PS legends PS PSone PS2 PS3 na 4 uchumi ukikaa sawa mjombaa GTA...
 
Reactions: GTA
HAPANA YEYE NDO ANAMDANGANYA FELIX HIHIHIHI
 
KUMBE UMEONA NINGESENAMAMIMIMWANAUME INGEONEKANA NA CRUSH TU WANAWAKE ....HAUNA USALITI HAPO KILA MTU ANA MTU WAKE NA HAJAWEKA WAZI SO KAMA VIPI AKOMAE NA FELIX ILI YULE MWINGINE AACHWE NA SIO KULIA LIA WAKATI AMESEMA ANA MTU WAKE FELIX ALITOKEA BY THE WAY...KUSUKA AMA KUNYOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…