Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,382 Reaction score 1,801 Mar 23, 2016 #21 Acha kuangalia porn
kirusi cha ukimwi JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 799 Reaction score 648 Mar 23, 2016 #22 Fanya toba ya kweli na ufanye majuto ya kutokurudia tena na kila wazo likija tu kumbuka ahadi yako na muumba wako.......
Fanya toba ya kweli na ufanye majuto ya kutokurudia tena na kila wazo likija tu kumbuka ahadi yako na muumba wako.......
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 575 Mar 23, 2016 #23 ukipata demu utaacha kabisa
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,658 Mar 23, 2016 #24 Anza hata kwa kununua basi pale Jolly ili uexperience utofauti
MSEZA MKULU JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 3,882 Reaction score 5,901 Mar 23, 2016 #25 inbox
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,115 Mar 23, 2016 #26 Kama unawasiwasi na njia ya kujichua kwa mkono,tumia ile njia yetu ya PAPAI la MOTO haina madhara kabisa
Kama unawasiwasi na njia ya kujichua kwa mkono,tumia ile njia yetu ya PAPAI la MOTO haina madhara kabisa
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,772 Reaction score 35,771 Mar 23, 2016 #27 Alafu unatarajia tanzania iifikie marekani!!! dawa yako ngoja donald trump aichukue nchi
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,618 Reaction score 5,416 Mar 23, 2016 #28 fanya toba kwa Mungu pia muombe akutie nguvu iliuweze kushindana na hayo mawazo ya kujichua chukua kalenda jiwekee malengo kwamba kutoka leo tarX mpaka tarX hapo katikati uweunafanya kila namana kuepukana na kitendo hicho mf;unatenga siku arubaini kutokea leo hivyo ukimaliza siku moja bila kujichua pale kwenye kalenda unaikata katika siku hizo zote jaribu kufanya mazoezi ya viungo jichanganye na watu soma vitabu vya dini magazeti nk ilimradi tu visiwe vinachochea ngono tumia muda mfupi uwapo bafuni badala yake tumia muda mrefuu hapa JF achana na facebook whatsapp badoo nk ZINGATIA HILO LA KALENDA yote kwa yote dhamira yako ndio itakayo kubadilisha
fanya toba kwa Mungu pia muombe akutie nguvu iliuweze kushindana na hayo mawazo ya kujichua chukua kalenda jiwekee malengo kwamba kutoka leo tarX mpaka tarX hapo katikati uweunafanya kila namana kuepukana na kitendo hicho mf;unatenga siku arubaini kutokea leo hivyo ukimaliza siku moja bila kujichua pale kwenye kalenda unaikata katika siku hizo zote jaribu kufanya mazoezi ya viungo jichanganye na watu soma vitabu vya dini magazeti nk ilimradi tu visiwe vinachochea ngono tumia muda mfupi uwapo bafuni badala yake tumia muda mrefuu hapa JF achana na facebook whatsapp badoo nk ZINGATIA HILO LA KALENDA yote kwa yote dhamira yako ndio itakayo kubadilisha
lwigwano Senior Member Joined May 14, 2015 Posts 130 Reaction score 67 Mar 23, 2016 #29 Bigbootylover said: Mkuu unataka kutukimbia wanaCHAPUTA? Click to expand... asifanye huo uamuzi kabisa au sio!!?
Bigbootylover said: Mkuu unataka kutukimbia wanaCHAPUTA? Click to expand... asifanye huo uamuzi kabisa au sio!!?
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,628 Mar 23, 2016 #30 Mkyamise said: Soma ujumbe niliokuandikia in-box Click to expand... Mnavyoenda inbox siyo fresh, kuna wahanga wengi wa hii kitu wangeweza pia kujifunzia hapa!
Mkyamise said: Soma ujumbe niliokuandikia in-box Click to expand... Mnavyoenda inbox siyo fresh, kuna wahanga wengi wa hii kitu wangeweza pia kujifunzia hapa!
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,628 Mar 23, 2016 #31 Kigger said: njoo inbox tuongee Click to expand... Mnaenda kufanya nini inbox, wekeni ushauri hapa ili wengine pia wajifunze. Hili ni janga, kuna watu wameshindwa kuacha hata baada ya kuoa.
Kigger said: njoo inbox tuongee Click to expand... Mnaenda kufanya nini inbox, wekeni ushauri hapa ili wengine pia wajifunze. Hili ni janga, kuna watu wameshindwa kuacha hata baada ya kuoa.