Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
JAMANI..
I am 26 now..
Tangu niingie darasa la 7 mwaka 2004 mpaka leo hii nishamanliza degree 2016 napiga sana PULI...
Lengo langu ilikua kuepuka mademu wakat niko shule...
Hata sasa bado cjapata DEMU..
Lakin nishaichoka hii kitu..
Nashangaa siachi.
Nikikomaa saaaana, two weeks, then napiga tena..
Nifanyeje ili NIACHANE nayo forever???
Mpaka nanihii yangu nahis imepinda sasa... Loh..
Wataalam ushaur jaman