Nifanyaje niachane na ubashiri?

Nifanyaje niachane na ubashiri?

Waungwana, poleni na majukumu yenu, enzi hizo nilikuwa mlevi wa pombe lakini kimaajabu tu nikaweza kuacha, nikahamia kwenye sigara, huko nako nikapambana nikaweza kuacha kabisa!

Sasa si ndio nikaanza kubet! Waungwana nmekuwa mlevi mbwa wa kubet! Yaani nabet kila siku, makampuni karibu yote nimejisajili! Mbaya zaidi napigwa kila siku hasa nikiweka dau kubwa, nkiweka dogo angalau napata ya kubrashia viatu!

Waungwana nifanyeje niachane na huyu sheitwani? Maana kama jana Liverpool na Man U wamenichakaza haswaaa!!! Msaada majamaa!!
Kama umeshaelewa kua ni shetani na unataka kuacha, sasa unakuja uambiwe nini huki jamii forum?
 
Nicheki dm nikupe mtu facebook kule anawekaga odds 2 kila siku free, na zina shinda , kwa wiki anaweza shindwa mara moja...Itakufaa hii
Na mwenyewe anabahatisha tu on long run ni loss Mimi nimefanya na paid service wanajiita betensured wana kitu wanaaita sure 2 na sure 3 yaani wanakupa odd 2 na odd 3 za uhakika lakini nimeishiwa kunyolewa mpaka basi kuna Siku nimetia laki laki kwenye hiyo odd 2 na 3 na zote mbili nikapunwa. Sio kwamba haupati lakini rate ya kupunwa in kubwa tofauti na wanavyotangaza.
 
Ndugu yangu pole kwa hili janga linalomaliza wengi kimyakimya, hakika hii kubet imemaliza wengi nikiwa mmoja wao, jana mimi niliapa kuwa sitawahi kubet tena maishani mwangu hata kama Barcelona anacheza na Singida united. na nimeamua kuacha kufuatilia mambo ya mpira kabisa, nimejitoa kwenye magroup ya betting na ya soka yote, nimefuta apps zote za mpira nikiamini kuwa nisipokuwa na hizo vishawishi nitaweza kuacha kabisa. jaribu kufanya kama mimi unaweza kufanikiwa kuacha kabisa, tafuta kitu mbadala itakayokuweka busy saa ambazo hauko kazini ili mawazo yasikupeleke huko tena. kama wewe ni mpenzi wa vitabu jaribu kusoma time ukiwa free ili akili yako isirudie tena huko.
Nakuapia hujaacha wew...hakuna aliewai acha
 
Waungwana, poleni na majukumu yenu, enzi hizo nilikuwa mlevi wa pombe lakini kimaajabu tu nikaweza kuacha, nikahamia kwenye sigara, huko nako nikapambana nikaweza kuacha kabisa!

Sasa si ndio nikaanza kubet! Waungwana nmekuwa mlevi mbwa wa kubet! Yaani nabet kila siku, makampuni karibu yote nimejisajili! Mbaya zaidi napigwa kila siku hasa nikiweka dau kubwa, nkiweka dogo angalau napata ya kubrashia viatu!

Waungwana nifanyeje niachane na huyu sheitwani? Maana kama jana Liverpool na Man U wamenichakaza haswaaa!!! Msaada majamaa!!
Sasa kama umeweza kuacha hiki na kukumbatia kile, je, ukiacha kamari hujui kuwa utakumbatia mademu ambao ni hatari kuliko hata kamari?
 
Betting mi siwezi kuacha kwanza hela nayobetia ni ndogo sana nisipobetia labda soda nitakunywa ,Siku ukiliwa ndo hivo ila ukishinda dau kubwa ndo bahati yenyewe,hata matapeli wanakesha na kutapeli na kusakwa na polisi kila mda sasa kwanini uache kitu ambacho ni halali ,kila week mi nabet jackpot na nina kosa kosa ila siku nikiotea nitaachana na kubet maana nitakuwa nimetimiza lengo langu
 
Waungwana, poleni na majukumu yenu, enzi hizo nilikuwa mlevi wa pombe lakini kimaajabu tu nikaweza kuacha, nikahamia kwenye sigara, huko nako nikapambana nikaweza kuacha kabisa!

Sasa si ndio nikaanza kubet! Waungwana nmekuwa mlevi mbwa wa kubet! Yaani nabet kila siku, makampuni karibu yote nimejisajili! Mbaya zaidi napigwa kila siku hasa nikiweka dau kubwa, nkiweka dogo angalau napata ya kubrashia viatu!

Waungwana nifanyeje niachane na huyu sheitwani? Maana kama jana Liverpool na Man U wamenichakaza haswaaa!!! Msaada majamaa!!
Kazi ninayo fanya nashika hela kila siku niliamua kuanza kucheza( mchezo)sijui huko mnaitaje nikaw nabaki na hela ndogo ya kula.saiv na miezi tisa sija beti
 
Waungwana, poleni na majukumu yenu, enzi hizo nilikuwa mlevi wa pombe lakini kimaajabu tu nikaweza kuacha, nikahamia kwenye sigara, huko nako nikapambana nikaweza kuacha kabisa!

Sasa si ndio nikaanza kubet! Waungwana nmekuwa mlevi mbwa wa kubet! Yaani nabet kila siku, makampuni karibu yote nimejisajili! Mbaya zaidi napigwa kila siku hasa nikiweka dau kubwa, nkiweka dogo angalau napata ya kubrashia viatu!

Waungwana nifanyeje niachane na huyu sheitwani? Maana kama jana Liverpool na Man U wamenichakaza haswaaa!!! Msaada majamaa!!
Bet magoli wewe, una bet kishamba bila shaka ulimpa Liver win na Man U win.
 
Mkubwa angalau ungejaribu kuungana na sisi wazee wa FX tuwafaidishe mabeberu kuliko kuwanenepesha wahindi
 
Waungwana, poleni na majukumu yenu, enzi hizo nilikuwa mlevi wa pombe lakini kimaajabu tu nikaweza kuacha, nikahamia kwenye sigara, huko nako nikapambana nikaweza kuacha kabisa!

Sasa si ndio nikaanza kubet! Waungwana nmekuwa mlevi mbwa wa kubet! Yaani nabet kila siku, makampuni karibu yote nimejisajili! Mbaya zaidi napigwa kila siku hasa nikiweka dau kubwa, nkiweka dogo angalau napata ya kubrashia viatu!

Waungwana nifanyeje niachane na huyu sheitwani? Maana kama jana Liverpool na Man U wamenichakaza haswaaa!!! Msaada majamaa!!
imagine ww ni mshabiki wa liver, timu yako inafungwa 7 nahela unaliwa.
 
Mkuu ebu tufumbue macho huko kwenye basketball unatumia options gani hizo ili nasi tuwe kama wewe
Mkuu, jaribu kujifunza Ice hockey, utanikumbuka.

Pita sana na DC (12) au win with the difference of 4 goals - no haswa kwa Russia top league.
 
Jikite kwenye ibada huku ukimuomba Mungu,Betting ni ugonjwa wakisaikilojia kama umeifanya ikutawale.
 
Back
Top Bottom