nifanyaje na huyu bwana

nifanyaje na huyu bwana

moreen baby

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
127
Reaction score
23
habarini wana MMU

mimi ni msichana nilikuwa nina boyfriend wangu tumekaa miaka nane tukipendana sana na hata nikiwa mbali alikuwa akija nilipo kunisalimia na kunijulia hali hii hapa ni mara ya nne nakuwa mbali nae hakuna baya lolote na bado tunapendana tatizo linakuja

nimepata chuo sehemu fulani natakiwa nikasome boy wangu anataka anioe kwanza ndipo nisome mgogoro ukatokea but familia yangu ikinilazimu nikasome kwanza ikanibidi mimi niende chuo

baaada ya miezi mitatu kupita bwana wangu ananambia amepata mchumba mwingine na ameshatoa mahali na anaoa sikuona shida kwakuwa ameamua tumeishi tukiwasiliana kwa muda hatimaye ameoa kweli sasa tokea ameoa mimi namkumbuka saana na natamani kuwa nae kwa muda huu kufuta mawazo hayo nikampata bwana mwingine anajitahiodi sana kunisahaulisha nikiwa nae ila nikiwa mbali nae kidogo tu mawazo yanarudi kwa alieoa sasa nifanyaje nimefuta namba zake lakini kichwan bado ninazo siweki salio kwenye simu yangu ili nishindwe kumtafuta nikianza kumsahau tu tayari yeye ananipigia simu kunijulia hali nashindwa nifanyaje wa MMU ushauri wenu muhimu ....
 
Mtafute mtiane wee muagane, afu umset mkewe awafumanie. Hutamkumbuka asilani.
 
Ulikua nae kwa miaka minane. Una umri gani kwa sasa?ukinijibu nitasema kitu
 
Si rahisi kumsahau upesi kama unavyopenda iwe. Kubali hali uliyonayo kwa sasa, na muda utafika kila kitu kitaisha.
Pole lakini pia tulia na mmoja hata kama Chuo wapo wengi.
 
Si rahisi kumsahau upesi kama unavyopenda iwe. Kubali hali uliyonayo kwa sasa, na muda utafika kila kitu kitaisha.
Pole lakini pia tulia na mmoja hata kama Chuo wapo wengi.
asante kwa ushauri mkuu ila najikuta naumia tu ila smtafut kwenye cm
 
Pole sana mapenz ni matam lkn yakigeuka afadhali ya shubir kwanza jua huyo hakuwa na upendo kwako vinginevyo angekusubir pia hukupangiwa na mungu jipe moyo jiulize angekufa je ungezikwa nae jiweke bize na mambo yk mungu atakusaidia utasahau tu
 
sawa asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom