Nifanyaje ili mchuzi uwe mzito

rasai

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
230
341
Habari,

Jamani mwenzenu naomba kujuzwa nifanyeje ili ninapo pika mchuzi uwe mzito, na kuwa wa rangi iliyokooza, inakaribia black. msaada please

Unataka uzito wa kiasi gani?

Anyway weka karai lenye mafuta, kaanga vitunguu km unavyofanya kwa chips. Zikiwa golden brown zitowe weka pembeni kuchuja mafuta, yasiwe kidogo sana.

Kwenye blender weka tungule na tomato paste kiasi unachotaka saga. Kaanga mchuzi km kawsida utaweka na hivo vitu hapo, hivi viwili vikifanyika utapata mchuzi mzito na uliokoza.

kwa ladha zaidi usiache kuweka kotmiri.
 
Ngoja watalaamu wa mapishi waje, though mchuzi unahitaji viungo na vikolombozwe vya hapa na pale ili uwe mzito
 
Unataka uzito wa kiasi gani?

Anyway weka karai lenye mafuta, kaanga vitunguu km unavyofanya kwa chips. Zikiwa golden brown zitowe weka pembeni kuchuja mafuta, yasiwe kidogo sana.

Kwenye blender weka tungule na tomato paste kiasi unachotaka saga. Kaanga mchuzi km kawsida utaweka na hivo vitu hapo, hivi viwili vikifanyika utapata mchuzi mzito na uliokoza.

kwa ladha zaidi usiache kuweka kotmiri.
 
Unataka uzito wa kiasi
gani?....anyway weka karai lenye mafuta,kaanga vitunguu km unavyofanya
kwa chips...zikiwa golden brown zitowe weka pembeni kuchuja
mafuta...visiwe kidogo sana. Kwenye blender weka tungule na tomato paste
kiasi unachotaka saga. Kaanga mchuzi km kawsida utaweka na hivo vitu
hapo....hivi viwili vikifanyika utapata mchuzi mzito na uliokozaa...kwa
ladha zaidi usiache kuweka kotmiri..
shukran, nmekupata vilivyo. natumai sasa ntaupatia huu upishi. asante sana
 
Mwiko wa upishi wote, ni kuunguza kitunguu ama undercooking it. Kitunguu kinakaangwa hadi kuwa brown.

japo sijaelewa,mchuzi unamaanisha stew ama sauce?
 
kuna options kadhaa huwa natumia depending na aina ya chakula,unaweza tumia royco mchuzi mix ila jihadhari usieke chumvi nyingi.mana yenyewe huwa ina chumvi,au koroga unga wa ngano kiasi afu mix kwenye mchuzi,njia ingine ni kuacha chakula kiive sana vitu km ndizi na viazi.vinalainika vinafanya mchuzi mzito...ingine kama ni tomato soup plain unaweza pika huo mchuzi ukaiva afu ukasaga kwenye blender na kiazi ulaya kilichochemshwa tiari,chuzi lazma liwe zito...pia kuongeza ladha unaweza unga mchuzi na vitunguu saumu au tumia curry powder mi huwa.naipenda harufu yake
 
Sante, nmekupata. Hii ya kueka ngano, nlipata muona dadaangu mmoja akieka maharage yawe mazito, ila yalikua ya biashara. Skupata tumia kwa mchuzi, nashkuru kwa maarifa
 
Sante, nmekupata. Hii ya kueka ngano, nlipata muona dadaangu mmoja akieka maharage yawe mazito, ila yalikua ya biashara. Skupata tumia kwa mchuzi, nashkuru kwa maarifa
ur welcomed dear...
 
usibanie viungo na usijaze mimaji,hilo la black unaweza kuviivisha sana vitunguu
 
Unataka uzito wa kiasi gani?....anyway weka karai lenye mafuta,kaanga vitunguu km unavyofanya kwa chips...zikiwa golden brown zitowe weka pembeni kuchuja mafuta...visiwe kidogo sana. Kwenye blender weka tungule na tomato paste kiasi unachotaka saga. Kaanga mchuzi km kawsida utaweka na hivo vitu hapo....hivi viwili vikifanyika utapata mchuzi mzito na uliokozaa...kwa ladha zaidi usiache kuweka kotmiri..

Tungule mchuzi unakuwa mchungu ?
 
Back
Top Bottom