ladycomfort
Member
- Oct 19, 2019
- 80
- 49
Kama kweli unaujua em' umalizie.... ndo tukushauri
Umbali wa kiasi gani? Mmekua kwenye mahusiano kwa muda gani? Yuko mbali kikazi au kimasomo?Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpenzi au mume?Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo mbali kikaziUmbali wa kiasi gani? Mmekua kwenye mahusiano kwa muda gani? Yuko mbali kikazi au kimasomo?
** Tuanzie hapo
Mmekua kwenye mahusiano kwa muda gani?
Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia kwanza msemo wa "fimbo ya mbali............."!
Hakikisha unaepuka kila sababu ya kukerana.Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka wa tatu tumeuanza sasaMmekua kwenye mahusiano kwa muda gani?
Haiui nyokaMalizia kwanza msemo wa "fimbo ya mbali............."!
Malizia kwanza msemo wa "fimbo ya mbali............."!
AsnteeeeMpenzi au mume?
Kama unaweza kumfuata huko mfuate tu.
Kama akiwa mume kidogo itakulinda ila kama ni mpenzi tu. Jiandae kwa lolote tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asnteee kwa ushauri wako nadhani tukifata haya penzi letu litafika mbaliHakikisha unaepuka kila sababu ya kukerana.
Hakikisha haipiti miezi miwili mnakutana kwa sababu mwanamke ana zile siku zake hatari,so kama hajatulia mtihani.
Hakikisha kils siku unaongea nae kwa dakika zisizopungua 15 walau.
Hakikisha wewe huchepuki mana ukichepuka hakuna maana ya kulinda penzi.
Hakikisha mnakuwa karibu na dini yenu ambayo inakataza uzinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nini unalazimisha fimbo ya mbali iue nyoka? Huoni kwamba kichwa chako kina matatizo sehemu fulani?
Fimbo ya mbali haiui nyoka, utachepuka tu na yeye atachepuka tu na kuanzisha mapenzi mapya. Yeyote kati yenu akikolea kwenye penzi jipya visingizio vitaanza niko bize, sijapewa ruhusa sina hela n.kMawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app