Nifahamisheni

Nifahamisheni

ABINALA

Senior Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
134
Reaction score
55
Je ni kweli kama mwanaume ni bikira ni lazima amwoe mwanamke bikira? na je bikira ni tiketi ya ndoa imara? Je kisaikoloj
 
Kwanza hakuna mwanaume bikira. Neno bikira ni kwa wanawake tu....
 
Je ni kweli kama mwanaume ni bikira ni lazima amwoe mwanamke bikira? na je bikira ni tiketi ya ndoa imara? Je kisaikoloj

kama upo dar nenda muhimbili kaonane na madokta wanaotibu afya ya akili
 
hiyo ni lazma kabisa usithubutu kufanya matusi utaharibu
 
Dfn.bikra ni ile hali ya kutowahi kushiriki tendo la ndoa hata cku moja (tendo linalohusisha sehemu ya kiume kuingilia sehemu ya kike) na si vinginevyo.

Kwa msichans bikra inaweza kuelelezwa kwa kuwepo kwa ngozi nyembamba katika kuta za uke ambazo mwanamke huzaliwa nayo hii ngozi laini na kawaida huwa haitoki isipokuwa mpka pale msichana atakaposhiriki tendo la ndoa.
Pia imegundulika ngozi hii nyembamba (kielelezo cha ubikra) huweza kutoka pia kama mwanamke atajihusisha na ufanyaji wa kazi au mazoezi magumu,kama kuendesha baiskeli,stretching miguu na n.k
NB:Bikra inatoka kirahisi kwa njia ya kitu kuingia ndani ya uke na si kutokea ndani kuja nje.
 
Dfn ys bikra kwa mwanaume pia da same apply...(Hali ya yeye kutowahi kushiriki tendo la ndoa hata cku moja/kutowahi kumuingilia kimwili msichana)
.
Kwa mvulana hakuna kielelezo ila tu inabaki kuwa ni siri kwake kama amewahi kushiriki tendo la ndoa au lah!.
Ijapokuwa pia Experience always shapes perception ya mtu na Practise it makes perfect...So unaweza mgundua kupitia uzoefu wake/utundu wake muwapo faragha.
Unless inabaki hvyo kwa upande wa mwanaume.
 
Back
Top Bottom