Nifafanulieni kauli hii!

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Posts
7,705
Reaction score
1,288
Nilikuwa nikiangalia harakati za kujinadi kwa mgombea wa Urais wa zanzibar kwa kupitia CCM na nilishituka na kauli iliyosema kuwa serikali za CCM,ile itakayokuwa chini yake Zanzibar na ile itakayokuwa chini ya Rais Kikwete na DR Bilali kule Bara.

Mawanzo yalianza kunichanganya na kujiuliza iwapo ipo Serikali ya Bara na jee kama Makamo wa Rais Dr Shein hakuwa akitumikia Muungano bali upande mmoja wa Muungano. Wasiwasi wango pengine akireflect ukweli wa Mambo.
 
Ulimi uliteleza msamehe tu...........Hawa watu sasa hivi yamewafika watasema lolote lile bora liende hii hali hawakuitegemea hata kidogo............
 
Maji yamewafika shingoni na wanaongea kila wanachojisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…