Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,125
- 34,276
Piga CBM ndo umefaulu zaidi.Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
Tukuelewejw mleta Uzi????Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
sidhani kama atarudi.Njia ya muongo ni mfupi sana
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Analeta usanii usio na tijasidhani kama atarudi.
Huyu jamaa nimeona uzi huu nikakumbuka uzi wake wa PCB . BAHATI nzuri nyuzi zake kumbe zipoHa ha ha, watu mmesha ifanya JF kama kijiwe cha kahawa, hata wanaohitaji msaada wa ukweli wanaweza kukosa kwa sababu ya hizi stories za kutunga.
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?
Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu
Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa
Kapata alichokuwa anakitafuta. Yupo anatumikia Ban mpaka muda huu.Huyu anaonekana ana upungufu wa akili...si ndo alisemaga ban ya hf imempa A+ mara anasoma ARU
Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10