Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
- Thread starter
- #21
Unauliza mavi ya mbuzi nani kanya tusemaje sasa?[ Tumia hata tafsida kidogo ndugu. Hujui hili jukwaa kila rika linachungulia? Ni vema na busara ukaficha Upumbavu japo mara moja kwa mwezi!